Nimekuelewa,sasa 2020 kazi na bataUkisoma vizuri utaona kuwa ni yeye Apson ndio aliomba kwenda kumuona JPM na sio kama ulivyoandika wewe; huyu Apson siku za karibuni afya yake ilizorota inawezekana alikwenda kuomba msaada!!!!
Eti huyo ndio Spymaster Jiwe anaemtegemea kumuokoa. Kwa hiyo alibeti Mkuu?Huyu jamaa bhana ndiyo tuliambiwa na Lizabon kuwa kauza nyumba yake bilion moja kuongeza hela ya kampeni kwa lowasa
Wazee wachumia tumbo hao,alishabet kwa kuuza nyumba ili achangie kampeni ya Lowassa akijua Lowassa anaenda Ikulu moja kwa moja, imagine kama Lowassa angeshinda angelipwa nini huyu?Wazee kama hawa ni watu muhimu sana kwa ustawi wa jamii ya watanzania.
Hapo ni baada ya kujadili kidogo kuhusu watu wawili muhimu, safi sana hiyo.
Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania - JamiiForums
tabu tupu!Jiwe akutana na mbowe Ikulu jijini dar es salaam, mh jiwe amempongeza mbowe kwa kuwa mvumilivu na majanga yaliyotokea hata wakati wa kukaa gerezani.
Mh jiwe amemuhakikishia mbowe kuwa ya zamani si ndwele tugange yajayo na atampa ushirikiano wote kuhakikisha chadema kinakua chamankikuu cha upinzani
Hawa ndiyo wazee walio hakikisha Watanzania tunaendelea kubakwa na wazungu all the time kwa kusimamia kikamilifu mikataba ya kicadaver na ya kimbwa ya madini...Wazee kama hawa ni watu muhimu sana kwa ustawi wa jamii ya watanzania.
Hapo ni baada ya kujadili kidogo kuhusu watu wawili muhimu, safi sana hiyo.
Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania - JamiiForums
YEHODAYA nakubaliana na wewe haikuhitaji kutangazwa hivyo, lakibi kwa kuwa Rais magufuli anajarihu kuonesha kuwa anangwa mjono na mamafia wengine ndio maana inamlazimu afanye hivyo.Hiyo taarifa ya ikulu ina ukakasi ukiomba kuonana Na Raisi wakati wewe sio public officer hiyo ni private appointment .Ikulu haiwezi geuza private appointment kama public appointment Na kuitolea press release.No.
Mzee wa ramli chonganishi. Hukosagi chochote cha kutabiri.Na wakati huo huo, Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt Modestus Kipilimba.... Let me wait for the wrong news first
Kama nawaona bavicha/ufipa walivyokonda.
By the way imebidi nimuombee na kumfunika kwa Damu ya Yesu Rais wangu maana kuna watu baadhi anaokutana nao siwaamini sana ila kwa maombi hawamuwezi[/QUOTE
Acha kumhusisha Yesu na upumbavu.Yaani damu ya Yesu ifunike wanaotesa wenzao?big NO.
Naona kaminywa "kikarateka" hahaaaaSamahani naomba kuuliza hapo Pichani Rais anaugulia jinsi Jasusi / Njagu alivyomshika huo Mkono wake ' Kimedani ' na ' Kikarateka ' au amefurahishwa na Kitu / Jambo fulani?
factUjinga tu, sasa hii nayo ni newsworth. Yaani kila kitu sasa ni PR event. Wamekutana! So what? Ina msaada gani kwetu sie tunaohangaika huku barabarani. Eti kuna mtu humu anasema kabisa eti huu uzi umefanya watu wa kitengo kujaa humu na kufuatilia, kufuatilia nini? Kuna popoma jingine linazungumzia jinsi huyo mstaafu alivyoshika mkono wa jiwe, eti kuna medani hapo, sijui karate bla blah,something special! Taifa la wapumbavu! Tunapoteza muda kujadili ujinga na kujaza server. Hata kama ni show of force kwa Membe, sisi tunahitaji kujua? Ulimbukeni na ushamba umetamalaki. So childish.
Umechoka kuishi Ulaya nini, au BREXIT inakusumbuaMie siongei na mbwa bali mwenye mbwa. Mwite Kipilimba hapa.
plz let me marry uUmechoka kuishi Ulaya nini, au BREXIT inakusumbua
Mission Complete. Poleni Chadema
eeeveryday all day na namuombea Rais like oooh my God.Usisahau kujiombea na wewe mwenyewe
Unamuombeaga kwa shetani labda ili tupate tabu sana,maana Mungu wetu hawezi kutupa tabu za kujitakia.eeeveryday all day na namuombea Rais like oooh my God.
mtapata tabu sana
Tuchunguzane kwanza ......plz let me marry u
hiki ulichoandika unaonyesha una taaabu sana na badoUnamuombeaga kwa shetani labda ili tupate tabu sana,maana Mungu wetu hawezi kutupa tabu za kujitakia.