Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Ujinga tu, sasa hii nayo ni newsworth. Yaani kila kitu sasa ni PR event. Wamekutana! So what? Ina msaada gani kwetu sie tunaohangaika huku barabarani. Eti kuna mtu humu anasema kabisa eti huu uzi umefanya watu wa kitengo kujaa humu na kufuatilia, kufuatilia nini? Kuna popoma jingine linazungumzia jinsi huyo mstaafu alivyoshika mkono wa jiwe, eti kuna medani hapo, sijui karate bla blah,something special! Taifa la wapumbavu! Tunapoteza muda kujadili ujinga na kujaza server. Hata kama ni show of force kwa Membe, sisi tunahitaji kujua? Ulimbukeni na ushamba umetamalaki. So childish.
 
Jiwe akutana na mbowe Ikulu jijini dar es salaam, mh jiwe amempongeza mbowe kwa kuwa mvumilivu na majanga yaliyotokea hata wakati wa kukaa gerezani.

Mh jiwe amemuhakikishia mbowe kuwa ya zamani si ndwele tugange yajayo na atampa ushirikiano wote kuhakikisha chadema kinakua chamankikuu cha upinzani
tabu tupu! :D:D:D
 
Hiyo taarifa ya ikulu ina ukakasi ukiomba kuonana Na Raisi wakati wewe sio public officer hiyo ni private appointment .Ikulu haiwezi geuza private appointment kama public appointment Na kuitolea press release.No.
YEHODAYA nakubaliana na wewe haikuhitaji kutangazwa hivyo, lakibi kwa kuwa Rais magufuli anajarihu kuonesha kuwa anangwa mjono na mamafia wengine ndio maana inamlazimu afanye hivyo.
 
Kama nawaona bavicha/ufipa walivyokonda.

By the way imebidi nimuombee na kumfunika kwa Damu ya Yesu Rais wangu maana kuna watu baadhi anaokutana nao siwaamini sana:D ila kwa maombi hawamuwezi[/QUOTE
Acha kumhusisha Yesu na upumbavu.Yaani damu ya Yesu ifunike wanaotesa wenzao?big NO.
 
Ujinga tu, sasa hii nayo ni newsworth. Yaani kila kitu sasa ni PR event. Wamekutana! So what? Ina msaada gani kwetu sie tunaohangaika huku barabarani. Eti kuna mtu humu anasema kabisa eti huu uzi umefanya watu wa kitengo kujaa humu na kufuatilia, kufuatilia nini? Kuna popoma jingine linazungumzia jinsi huyo mstaafu alivyoshika mkono wa jiwe, eti kuna medani hapo, sijui karate bla blah,something special! Taifa la wapumbavu! Tunapoteza muda kujadili ujinga na kujaza server. Hata kama ni show of force kwa Membe, sisi tunahitaji kujua? Ulimbukeni na ushamba umetamalaki. So childish.
fact
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom