Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Kifupi Apson kaenda kumwona Raisi as a personal visit ni haki yake. That visit is personal it has nothing to do with public he can go as many Times as he wishes even 24/7
 
Ukisoma vizuri utaona kuwa ni yeye Apson ndio aliomba kwenda kumuona JPM na sio kama ulivyoandika wewe; huyu Apson siku za karibuni afya yake ilizorota inawezekana alikwenda kuomba msaada!!!!

Nakushauri utulie na kusoma post za wenzio, sio lazima upost, jiongezee maarifa kwa kudoma zaidi! Unaweza kuumeza ama kutema ushauri wangu!!
 
Na wakati huo huo, Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt Modestus Kipilimba.... Let me wait for the wrong news first
Dr kipilimba mmmmmmm leave him alone ongelea hoja zingine please.Leave that man of God alone.Usitafute nuksi Na laana kwenye maisha yeye Na Tulia Ackson ndio wamehakikisha nchi haiingii vita za wenyewe kwa wenyewe kama nchi zingine
 
Nakushauri utulie na kusoma post za wenzio, sio lazima upost, jiongezee maarifa kwa kudoma zaidi! Unaweza kuumeza ama kutema ushauri wangu!

Haya ni matokeo ya mods kuunganisha threads mbali mbali na kuwa moja hivyo unaona kuwa hakuna mtiririko wa uchangiaji!! Nadhani hujalitambua hilo.
 
Kifupi Apson kaenda kumwona Raisi as a personal visit ni haki yake. That visit is a personal it has nothing to do with public he can go as many Times as he wishes even 24/7
Eeh! tuna tatizo Watazania.
Kama ni ziara binafsi hiyo barua imelengwa kwa nani kama si public!

Hivi huoni hiyo barua ni mawasiliano kati ya Ikulu na Umma!
 
Eeh! tuna tatizo Watazania.
Kama ni ziara binafsi hiyo barua imelengwa kwa nani kama si public!

Hivi huoni hiyo barua ni mawasiliano kati ya Ikulu na Umma!
Muulize mwandishi kama ziara ilikuwa public au private
 
Na ameshachelewa
 
Apson sio kiongozi wa serikali habari zake akienda ikulu ni personal zaidi haihitaji publicity ya taarifa official ya ikulu . Alishastaafu ruksa kwenda ikulu atakavyo hata kesho akitaka aende tu as a private visit . Ikulu kuifanya private visit kama public visit kwa mtu ambaye sio current public officer si sahihi.Hayo wangeachia private media Za magazeti kama Nipashe ,Tanzanite,Tanzania daima TV Na radio private Na mitandao ya jamii forums ,michuzi blog nk
 
Babu yangu ana uwezo wa kukuitia Marehemu yeyote na ukaongea nae faragha!! watu kama Fidel Castor,Nyerere,Karume,Jumbe,Mzena,Sitta,Kingunge ... anaweza kukuitia just PM me kama unahitaji piga story na one of them😇

Mzena!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…