Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Kifupi Apson kaenda kumwona Raisi as a personal visit ni haki yake. That visit is personal it has nothing to do with public he can go as many Times as he wishes even 24/7
 
Ukisoma vizuri utaona kuwa ni yeye Apson ndio aliomba kwenda kumuona JPM na sio kama ulivyoandika wewe; huyu Apson siku za karibuni afya yake ilizorota inawezekana alikwenda kuomba msaada!!!!

Nakushauri utulie na kusoma post za wenzio, sio lazima upost, jiongezee maarifa kwa kudoma zaidi! Unaweza kuumeza ama kutema ushauri wangu!!
 
Na wakati huo huo, Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt Modestus Kipilimba.... Let me wait for the wrong news first
Dr kipilimba mmmmmmm leave him alone ongelea hoja zingine please.Leave that man of God alone.Usitafute nuksi Na laana kwenye maisha yeye Na Tulia Ackson ndio wamehakikisha nchi haiingii vita za wenyewe kwa wenyewe kama nchi zingine
 
Nakushauri utulie na kusoma post za wenzio, sio lazima upost, jiongezee maarifa kwa kudoma zaidi! Unaweza kuumeza ama kutema ushauri wangu!

Haya ni matokeo ya mods kuunganisha threads mbali mbali na kuwa moja hivyo unaona kuwa hakuna mtiririko wa uchangiaji!! Nadhani hujalitambua hilo.
 
Kifupi Apson kaenda kumwona Raisi as a personal visit ni haki yake. That visit is a personal it has nothing to do with public he can go as many Times as he wishes even 24/7
Eeh! tuna tatizo Watazania.
Kama ni ziara binafsi hiyo barua imelengwa kwa nani kama si public!

Hivi huoni hiyo barua ni mawasiliano kati ya Ikulu na Umma!
 
Eeh! tuna tatizo Watazania.
Kama ni ziara binafsi hiyo barua imelengwa kwa nani kama si public!

Hivi huoni hiyo barua ni mawasiliano kati ya Ikulu na Umma!
Muulize mwandishi kama ziara ilikuwa public au private
 
Yes, mkuu aliingia kichwa kichwa kwenye siasa akadhani ataweza kupambana man alone... Hakujua kwamba siasa ni zaidi ya manguvu akili nyingi inahitajika.. Ameanza kuona kumbe kumtegemea DAB anaendelea kupoteza, sasa ndo anashtuka ajaribu kutafuta mtandao wakati hao hao anaowatumia nao wanautaka bado urais... Mwisho wa siku atapotea kama mshumaa baada ya kipindi chake kupita na hatoamini.
Na ameshachelewa
 
Hakuna sababu, uwepo wa barua kwa umma ni kielelezo cha ziara rasmi katika ofisi ya Umma. Ingalikuwa binafsi wangemalizana pasi sisi kujua

Elewa maana ya barua, imeandikwa kutoka wapi na imekusudia hadhra gani.

Watz tuna tatizo kubwa sana la weledi!
Apson sio kiongozi wa serikali habari zake akienda ikulu ni personal zaidi haihitaji publicity ya taarifa official ya ikulu . Alishastaafu ruksa kwenda ikulu atakavyo hata kesho akitaka aende tu as a private visit . Ikulu kuifanya private visit kama public visit kwa mtu ambaye sio current public officer si sahihi.Hayo wangeachia private media Za magazeti kama Nipashe ,Tanzanite,Tanzania daima TV Na radio private Na mitandao ya jamii forums ,michuzi blog nk
 
Babu yangu ana uwezo wa kukuitia Marehemu yeyote na ukaongea nae faragha!! watu kama Fidel Castor,Nyerere,Karume,Jumbe,Mzena,Sitta,Kingunge ... anaweza kukuitia just PM me kama unahitaji piga story na one of them😇

Mzena!?
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom