Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Mission Complete. Poleni Chadema

Kwa taarifa yako huyo jamaa aliikuta cdm ikiwa na nguvu na ataiacha ikiwa na nguvu. Hakuna mchango wowote wa maana alioipa cdm zaidi ya kula hela za Lowassa. Hakuna mwanacdm yoyote anayemjua na wala hakuna anayemtetemekea. Labda jiwe ndio anadhani wanacdm wanamjua huyo jamaa.
 
View attachment 958125

Ni leo tarehe 06/12/2018 . Bosi huyo wa Zamani wa TISS na swahiba mkubwa wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mgombea Urais 2015 aliyeviwakilisha Vyama vinavyounda Umoja wa UKAWA, EDWARD Ngoyaye Lowassa, apongeza Miradi mikubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano. Apson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM.

View attachment 958072
Jambo la heri sana kukutana wakubwa wetu hawa.
Shida kubwa ni kuligeuza jambo hili kuwa la kisiasa.Serikali ya awamu ya tano imefanya mengi sana mazuri ingawa yatakuwa short lived lakini ni mazuri na hakuna namna unaweza kukutana na Raisi na usimsifie (nenda hospitalini-dawa na watu wanawajibika vizuri,ofisi za serikali ni adabu mtindo mmoja,kusimamia sheria za barabarani-ajali zimepungua sana).
Raisi wetu angekwenda mbele kidogo tu na kukubali mfumo wa vyama vingi na kuondoa haya mazonge yanayoonekana sasa.
 
Watu wenye uelewa wa ushabiki tayari mmeshindwa kuelewa mantiki ya press release hii. Kitendo cha main point kuwa ni kushukuru kukubali kumuona tayari hiyo ni propaganda kama ile ya Lowassa ambaye kamwita mwenyewe kasha wanageuza eti kaomba kuonana.
Awamu hii propaganda za kitoto nyingi mno
Una waChakaza wajinga kwa upotoshaji.
 
Sasa nadhan baada ya kukutana na jamaa bei ya petrol itashuka na dola pia itashuka
 
Kwa vile niliwahi kutoka na maza wako doesn't mean unanijua zaidi ya kila mtu

Good news is hicho mnachojaribu kuficha kitafahamika muda si mrefu. Where is Dkt Modestus Kipilimba? Don't push me kuongea yasiyopaswa kuongelewa hapa. I have warned you!
We faler acha kutishia watu.

Mwanaizaya we
 
Back
Top Bottom