Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

CCM inabidi waache status quo kwenye inshu ya fedha kwenye muungano, wazanzibar wapewe uhuru wa kukusanya fedha wenyewe na wajiamulie matumizi wenyewe, kuingilia hilo suala ni kuleta balaa la kisiasa huko mbele ni.
 
Kuna Haha ya kunzisha tahasusi nyingine kwenye advance school tofauti na hizi za juzi kati
Hizo tahasusi (combination) should merge the veneculur language
 
Hiyo ni dalili ya kwamba katika uongozi huu Tanganyika itadhulumiwa sana
 
Mkuu haujaeleweka kbs yaani..!
 
Mkuu post hii ilikuwa na kichwa Cha habari ....Ila imeungainishwa humu...alichosrma Rais leo no kuwa bado Kuna Keri ya Muungano hususani masuala ya Fedha!
Na Rais amesema Suala hili Waxiri was Fedha...Mpango ndio alilikali!
Kwa hiyo sasa ...Kampa Mchawi alee mwana!kumbuka Mh Rais ndiye aliyekuwa anaratibu ...Namna ya kuondoa kero za Muungano!
Mkuu haujaeleweka kbs yaani..!
 


 
Tangu lini makamu wa rais akaapishwa na rais na si jaji mkuu?

Kwanini uzi huu umefukuliwa sasa hivi?

Ndio maana kwa mara ya kwanza makamu wa rais juzi ametoa amri ya kimamlaka kwa jeshi la polisi kugusu bughudha za misafara ya viongozi!!! Kuna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…