Kweli Kabisa yale makontena yako wapi na mbwebwe zote zile na hasa Makonda, duu TanzaniaaaaaKwani yako wapi makontena yalokamatwa.? Wapi magodauni yalobainika kuficha sukari, tuliona kwa kideo yamekamatwa na tukaahidiwa kugaiwa bure....😉
Umeshapata jibu la tamu yetu iliko?
sijapata
na bado inapanda bei
Hujapata na bado inapanda bei? Imefikia kiasi gani?Ila umeniogopesha...
unaogopa nini?
3,000 kilo moja
Kweli Kabisa yale makontena yako wapi na mbwebwe zote zile na hasa Makonda, duu Tanzaniaaaaa
Ni kweli kabisa unashangaa watu wanajitoa ufahamu kusifia kila anachofanya huyu Baba Jesca bila kuangalia athari zakeTatizo hawa jamaa wameshindwa mapema sana kuweka sawa mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja katika maisha yao ya kila siku wamekalia politiki na ubabe mwingi huku mtaani bei ndio inazidi kupaa kila kukicha.