Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mizuka na Mwendo kasi ndio unakotupeleka Mrama
Siyo kwa speed ya Mizuka?!
!
Inakuja kwa spidi ya mwendokasi
kwa kweli
watuambie tamu yetu iko wapi
juzi nimeuziwa sukari nyeupe kama chumvi
hadi vijiko kumi kwenye kikombe ndio chai inanyweka

Umeona eeeh!! Tena awo ndo zaidKuisoma namba tutaisoma wote. Walikuwa wanashangilia Baba Jesca ndo wanaisoma namba vizuri
Yale yalikuwa ni maigizo na kutafuta sifa za kijinga tu. Mtu anunue bidhaa halali kwa fedha zake halafu wewe uje uchukue ugawe bure. Hawa wanaojiita vioongozi wanadharau sana na kutuona sisi wananchi hatuna akili kabisaKwani yako wapi makontena yalokamatwa.? Wapi magodauni yalobainika kuficha sukari, tuliona kwa kideo yamekamatwa na tukaahidiwa kugaiwa bure....😉
Alaf asaiv ukawauliza wanakataaWale walikuwa wanaimba CCM MBELE KWA MBELE sijui kama huu wimbo wanausikiliza tena
Ha ha hiyo sasa ni sukari hewa.!kwa kweli
watuambie tamu yetu iko wapi
juzi nimeuziwa sukari nyeupe kama chumvi
hadi vijiko kumi kwenye kikombe ndio chai inanyweka
kwa kweli
watuambie tamu yetu iko wapi
juzi nimeuziwa sukari nyeupe kama chumvi
hadi vijiko kumi kwenye kikombe ndio chai inanyweka
kwa kweliBado kauli za kukurupuka zitaendelea kutugharimu