Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Rais ndio aliagiza tena hadharani kabisa kwamba uchunguzi ufanyike..... Hawezi ogopa kuisoma!
Kama haikusomwa sababu ipo, tena sababu ya msingi
Vuta subra
Serikali ni taasisi
VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
Mbona magufuli alikua mgonjwa na bado akagaliwa?VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
Kwan report ya CAG ili mention kuhusu VP? Kama ndivyo je CAG alitoa wap hiyo report?VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
Alijua kuwa anaowachunguza no "vigogo" na most likely alikuwa bameshatonywa kuwa kuna wizi na tetesi zinasea wanaohusika ni hawa na Hawa... Why aliunda kamati?Haiwezi kusomwa maana wahusika ni hao hao viongozi waliokuwa wanajifanya wazalendo. Atakachofanya huyo mama ni kuitumia hiyo ripoti kama kifungo cha ndani dhidi ya hayo majizi ili yasimsumbue kwenye utawala wake. Hakuna sababu yoyote ya msingi ya kutosoma hiyo ripoti hadharani, zaidi ya kulindana kichama.
Nani aweke. Au Mero ndo awekeWekeni ripoti hadharani, hatutaki Utetezi wa mahaba niue.
Kwahiyo unapingana na ripoti ya uchunguzi wa CAG?VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
Hakuna hicho kitu bwashee.Kwahiyo unapingana na ripoti ya uchunguzi wa CAG?
Yaani umemtetea mapemaa... endapo haitasomwa basi kuna sababu ya msingi ambayo mimi na wewe tulioambiwa kuwa ucgunguzi ufanyike HATUTAIJUA...Rais ndio aliagiza tena hadharani kabisa kwamba uchunguzi ufanyike..... Hawezi ogopa kuisoma!
Kama haikusomwa sababu ipo, tena sababu ya msingi
Vuta subra
Serikali ni taasisi
Yaani umemtetea mapemaa... endapo haitasomwa basi kuna sababu ya msingi ambayo mimi na wewe tulioambiwa kuwa ucgunguzi ufanyike HATUTAIJUA...
Kuna siku ya kwanzaVP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
Naunga mkono.VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.