Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

Rais ndio aliagiza tena hadharani kabisa kwamba uchunguzi ufanyike. Hawezi ogopa kuisoma!
Kama haikusomwa sababu ipo, tena sababu ya msingi

Vuta subra

Serikali ni taasisi
 
Rais ndio aliagiza tena hadharani kabisa kwamba uchunguzi ufanyike..... Hawezi ogopa kuisoma!

Haiwezi kusomwa maana wahusika ni hao hao viongozi waliokuwa wanajifanya wazalendo. Atakachofanya huyo mama ni kuitumia hiyo ripoti kama kifungo cha ndani dhidi ya hayo majizi ili yasimsumbue kwenye utawala wake. Hakuna sababu yoyote ya msingi ya kutosoma hiyo ripoti hadharani, zaidi ya kulindana kichama.
 
Alijua kuwa anaowachunguza no "vigogo" na most likely alikuwa bameshatonywa kuwa kuna wizi na tetesi zinasea wanaohusika ni hawa na Hawa... Why aliunda kamati?
 
Ripoti yenyewe inachowafanya.

IMG_20210406_185844.jpg
 
Rais ndio aliagiza tena hadharani kabisa kwamba uchunguzi ufanyike..... Hawezi ogopa kuisoma!
Kama haikusomwa sababu ipo, tena sababu ya msingi

Vuta subra

Serikali ni taasisi
Yaani umemtetea mapemaa... endapo haitasomwa basi kuna sababu ya msingi ambayo mimi na wewe tulioambiwa kuwa ucgunguzi ufanyike HATUTAIJUA...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom