Njoonikupe kwa 11'900Tuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?
Sukari n cement AMA mmetoka iringa leo8000? au unamaanisha sukari ww?
Elezea ikowapi amakiwanda tunaitaji kodizetu akuna cement kama hip banaTafuta Jembe cement ni cement nzuri sana na bei yake kila mtanzania ana mudu ni shilingi 8,500 Tsh.
sukari kwanza mkuuSukari n cement AMA mmetoka iringa leo
Mko wapi nije nichukue cement ya kutosha?Tafuta Jembe cement ni cement nzuri sana na bei yake kila mtanzania ana mudu ni shilingi 8,500 Tsh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tafuta Jembe cement ni cement nzuri sana na bei yake kila mtanzania ana mudu ni shilingi 8,500 Tsh.
Mkuu mwenye kiwanda ndo anaweza toa bei coz anajua gharama za uzalishaji. Ila akitoka mtu anataja bei ya bidhaa bila mchanganuo mwambie anakudanganyaTuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?
Subiri uchaguzi mkuu ukikaribia.Tuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?