SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Moja kwa moja kwenye mada:
Leo asubuhi na mapema nimepita katika duka moja la vifaa vya ujenzi Dodoma mjini kuulizia bei ya mfuko wa cement na kukuta ni Tsh 16,500/=.
Nikasema ngoja niende church then nikitoka nitapitia mifuko kadhaa kwa ajili ya kuipeleka site kwenye ujenzi.
Majira ya saa sita hivi mchana, nilivyoenda sasa kununua nikakuta mambo tofauti;
Kwanza mifuko yote imeshaisha, raia mmoja naambiwa alipita akaikomba yote.
Pili jamaa eti ananiambia bei imeshapanda mpaka kufikia 20,000/= Tsh, na mpaka kufikia kesho huenda ikapanda zaidi.
Ili kujiridhisha nikapita na maduka kadhaa mengine kufanya kautafiti kadogo lakini habari ilikuwa the same.
Hivyo nikaona ngoja niendelee na kautafiti kangu haka kasicho rasmi ili kuweza kujua hali ipoje huko katika mikoa mingine.