Najua kuna mapungufu makubwa
Hapo mnataka Mama aingilie Muhimili wa Bunge ili mpate kauli kwamba yeye naye anaingilia mihimili ya dola?Swala la COVID-19 mjengoni mama bado anademka wale hawastahili kuendelea kuwepo Bungeni huku wakipokea mabilioni kinyume na katiba ya nchi.
Hapo mnataka Mama aingilie Muhimili wa Bunge ili mpate kauli kwamba yeye naye anaingilia mihimili ya dola?
Yeye ndiye kala kiapo cha yeye mwenyewe kulinda katiba na wala hajala kiapo kwa niaba ya Watu wengine, kuhusu kuvunjwa kwa katiba kwa minajili ya Wale Covid 19 kule Bungeni hilo lipo kwa SPIKA wa Bunge na sio kwa Mama.Mama alikula kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba ya Nchi huku akiwa ameshika kitabu kitakatifu cha dini yake. Hakuwekewa mipaka ya nini anachoweza kukifanya au kutokufanya kama Katiba ya Nchi INAKIUKWA. Kama ipo mipaka hiyo ndani ya katiba basi iwekwe hapa...
Naunga mkono hoja , kwa vile huu ni mwanzo tu, tumpe muda Mama Samia, atatenda.Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa mama Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia.
1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama?...
Yeye ndiye kala kiapo cha yeye mwenyewe kulinda katiba na wala hajala kiapo kwa niaba ya Watu wengine, kuhusu kuvunjwa kwa katiba kwa minajili ya Wale Covid 19 kule Bungeni hilo lipo kwa SPIKA wa Bunge na sio kwa Mama.
Kumbuka pia ni Nature ya mwanadamu, hatoridhika mpaka aingie kaburini, je Mama afanye lipi kumridhisha kila mtu kwa kila kitu? America yenyewe haijawaridhisha Waamerica Wote sembuse Tz ya Mama?😁Naunga mkono hoja , kwa vile huu ni mwanzo tuu, tumpe muda Mama Samia, atatenda.
P
Mkuu bado naona juhudi kubwa za kuminya HAKI ya Watanzania wengi. Vipi kuhusu kukutana na Viongozi wa Chadema? Mbona miezi mitatu inakatika bado yuko kimya!?
Yes and no.Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa mama Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia.
1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama?...
Hivi unajua kuwa mawazo yako huwa ya kijuha!Mkuu bado naona juhudi kubwa za kuminya HAKI ya Watanzania wengi. Kwa mfano mama alipofuta kesi 147 kwa kuwa zilikuwa ni za kubambikiwa alitakiwa pia afute hukumu zote za kesi za huyo Msowoya na hivyo kuwaachia huru wafungwa wote na kuwarudishia mabilioni yao waliyolipa kama faini...
Superfluous information not discernible!Yes and no.
Unaposema ....ANGALAU NA UHAKIKA KUTAKUCHA SALAMA ungesema ANGALAU WAMEKULA...
Inawezekana una hoja, ingawa mimi naona unachanganya mambo. Nakushauri anzisha uzi (thread) utoe hoja yako. It does not fit here , it is an outlier.Yes and no.
Unaposema ....Angalau na uhakika kutakucha salama ungesema angalau wamekula...
Uko sahihi, kama kuna chochote kinavunja katiba, ni wajibu wa Rais kukikemea. Nadhani ndiyo maana Rais anaweza kulivunja Bunge akiona linavunja Katiba! Uko sahihi, ni wajibu wake kutetea KatibaYeye ni Rais wa Nchi na katiba inampa madaraka makubwa ya kuilinda na kuitetea katiba hiyo. Kama kuna mipaka ndani ya katiba ambayo inamzuia kuilinda katiba inapokuwa inavunjwa Bungeni basi vipengele hivyo viwekwe hapa...
Uko sahihi, kama kuna chochote kinavunja katiba, ni wajibu wa Rais kukikemea. Nadhani ndiyo maana Rais anaweza kulivunja Bunge akiona linavunja Katiba! Uko sahihi, ni wajibu wake kutetea Katiba
casual observation tells it all!-Kuna mapungufu.
-Kuna mapungufu makubwa.
-Kuna mapungufu makubwa sana.
-Kuna mapungufu makubwa mno.
Hizo kauli zina vipimo na vigezo ili mtu aweze kujua ukubwa wa mapungufu, sasa wewe umetumia vigezo au vipimo gani ili kujua hayo mapungufu MAKUBWA ya serikali ya Samia Suluhu Hassan (SASHA)??
Nafikiri uko nje ya mada. au kwa maksudi unajarib kupindisha uelekeo wa mada na kuhamisha watu.Najiuliza kwa Sauti, tangu CHADEMA kimeanzishwa ni lipi la kitaifa (baya/zuri) viongozi wake wamefanya kuwekwa kwenye kumbukumbu (legacy)?
Mkuu umemjibu Retired kwa ufasaha kabisa.Yes and no.
Mkitaka kutawala wacheni ubinafsi na ukabila. Unamsikia Mbowe anasema Geita ni mkoa mdogo kasahau kwao, analalamika Airport yeye kwao ziko 3. Anadai Chato wanajenga hospitali ya Rufaa kasahau kwao ziko 5. Watu si wajinga, wanawaona hamueleweki...
casual observation tells it all!