Uchaguzi 2020 Ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa kutojenga jengo la Kanisa, Je mgombea Urais anayetoka chama kisichojenga ofisi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu tutolee upuuzi wako hapa.

 
Kwa taarifa yako ccm hawana jengo lao hata moja.....
Majengo na viwanja wanavojidai kua vyao ni mali ya umma na ilitakiwa mali zote zirejeshwe serikalini pale 1992.......
Maana hizo ni mali za watz wote wenye vyama na wasio na vyama.....
Ccm wametumia hizo mali kujenga ofisi zaidi kitu ambacho ni ufisadi......
Chadema wakiingia kitu cha kwanza ni kutaifisha mali zote za ccm maana kimsingi ni za umma.....
 
Leta ushahidi mkuu sio maneno matupu
 
Hakuna bavicha wa kujibu hili swali wengi watapita kimya na watakao jitutumua kujibu watakutoa nje ya mada na kuongea utumbo kama kawaida yao.
 
Makao makuu ya CHADEMA yanatia aibu sana. Nashindwa kufikiria kuhamisha mtu kutoka tasisi hii na kumweka kwenye taasisi kama Ikulu.
 
Makao makuu ya CHADEMA yanatia aibu sana. Nashindwa kufikiria kuhamisha mtu kutoka tasisi hii na kumweka kwenye taasisi kama Ikulu.
Ni aibu kubwa sana nashangaa wanavyomkomalia Gwajima ajenge jengo la kanisa badala ya kumkomalia mwenyekiti Mbowe ajenge wahame kwenye servant quarter
 
Hii picha hapa ndo makao makuu ya Chadema chama kinachotaka kuchukua serikali!?
 
Amini amini nakuambia hapo ndio makao makuu ya chadema. Hawapo serious kabisa yaan wanataka kutoka servant quarter hadi ikulu
Dah!!,aisee ni aibu,aibu sana kwa Chama kama chadema akina ofisi wakati Mbowe kakwapua bilioni nane za chama.
wepesi wa kukosoa ilhali wao hata kujenga ofisi wameshindwa.
 
Sifa moja wapo ya kuwa mbunge ni kuwa na umri wa miaka 21 na kuendelea ivyo uyo ni mtu mzima. Huwezi kumpangia mtu mzima akazwe na nani. Hoja yako haina mashiko
Misumari ya kule imekutuma kuanzisha mada ili kumtetea Gwajiboy
Buruduka na hizi nondo chache zilizokukimbiza povu ruksa;

lugha za mafumbo na vijembe hupendelewa kutumiwa na wanawake. nashindwa kukuelewa comrade.
Kwa hiyo hapo unamjibu mwanamke mwenzio au sio? Je mithali na mafumbo yaliyoandikwa katika vitabu vitakatifu ilikuwa mipasho?
Izoeshe akili kufikiri dunia inahitaji wenye maarifa, akili na upeo kufikiri sio kila kitu utafuniwe mkuu ndugu yangu ukiendekeza hivyo kuna kutafunwa pia!!

Pia imeandikwa;

Hakika imeandikwa " mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili "

Hapo Gwaji anakuwa fungu gani au ndio mpanda farasi wawili...?

Badala ya kuwanunulia Ambulance, kwa nini asiwafufue wafu na kuwaponya wagonjwa kama anavyofanya kanisani kwake......!!

Gwajima ni TAPELI No. 1 Tanzania ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…