Ikiwa kama Wananchi wa Tanzania hawataki Katiba mpya, Maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba yalitoka wapi?

Kwa hiyo Mkapa ambaye aliwahi kuwa Rais ná Mwenyekiti wa maccm anayefahamu kwamba Tume ya uchaguzi si huru wewe unataka kumbishia!! You’re suffering from ACQUIRED STUPIDITY SYNDROME. Upumbavu umekithiri nchi hii.
Mkuu mkapa kwangu sio hoja,kitu akisema mkapa kwangu mimi SIO HOJA ya moja kwa moja ya kuninyamazisha.

Unaweza kunipa tafsiri ya tume huru ni ipi kwa mujibu wa huyo mkapa ?
 
Kwa hiyo Mkapa ambaye aliwahi kuwa Rais ná Mwenyekiti wa maccm anayefahamu kwamba Tume ya uchaguzi si huru wewe unataka kumbishia!
Mkapa ni nani kwangu mpaka nisiwe na maoni kinyume na yeye ?

Nimeshakuambia kwamba mkapa kwangu sio hoja ya moja kwa moja ya kuninyamazisha.

Wewe tukana utakavyotukana ila naomba unijibu swali langu,jeee kwa mujibu wa mkapa tume huru ni ipi ?
 
Bado tuna safari ndefu sana nchi hii. Hata mpumbavu anaweza kupinga kile kilichosemwa na aliyewahi kushika nafasi mbali mbali za uongozi nchini ikiwemo Urais na anajua kinachoendelea nchi hii kuliko mpumbavu huyo.
E0B7468A-8F6B-48BC-AF8C-684814E74532.jpeg

Mkapa ni nani kwangu mpaka nisiwe na maoni kinyume na yeye ?

Nimeshakuambia kwamba mkapa kwangu sio hoja ya moja kwa moja ya kuninyamazisha.

Wewe tukana utakavyotukana ila naomba unijibu swali langu,jeee kwa mujibu wa mkapa tume huru ni ipi ?
 
Bado tuna safari ndefu sana nchi hii. Hata mpumbavu anaweza kupinga kile kilichosemwa na aliyewahi kushika nafasi mbali mbali za uongozi nchini ikiwemo Urais na anajua kinachoendelea nchi hii kuliko mpumbavu huyo. View attachment 1888855
Bado hujanipa majawabu mkuu.

Nilishakuambia mkapa sio hoja ya moja kwa moja kwangu.

Hata wewe kuna mambo kibao unaweza kupishana mitazamo na mkapa.

Naomba nijibu swali langu.

Kwa mujibu wa huyu mkapa ambae unataka kufanya awe hoja kwangu,je tume huru ni ipi kwa mujibu wa mkapa ?

Wewe tukana lakini swala languiko pale pale,mimi sina muda wa kukejeli mtu humu.

Jibu swali mkuu
 
Elimu elimu elimuuuuuu 😂😂🤣😂🤣🤣🤣

Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwa sasa endelea na huo upumbavu wako kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Siwezi kupoteza muda wangu eti nimpe majibu mbumbumbu ambaye uwezo wake wa kuelewa ni SIFURI AKA ZERO BRAIN.
Kiufupi huna majibu.

.ukihisi una majibu utaleta,nipo muda wote.
 
Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwa sasa endelea na huo upumbavu wako kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Siwezi kupoteza muda wangu eti nimpe majibu mbumbumbu ambaye uwezo wake wa kuelewa ni SIFURI AKA ZERO BRAIN.
Sawa mkuu.
 
Kwani ilifanyika kura ya maoni au warioba na kamati yake walikuja tu na mapendekezo yao. Kwenye bunge la katiba ndio kulikua na uwakilishi bunge likachuja warioba likaja na katiba ya kupigiwa kura na wananchi.
Tume ilikusanya maoni ya wananchi
 
Back
Top Bottom