SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,923
- 2,003
Pa kulalamikia ni kwenye chanzo cha mto Ruaha, maana bila huo nchi haina umemeTulishasahau keep za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama tanesco Wana uwezo was kulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia.leo ni Mara ya 3 hii Hali hii inajitokeza je ikitokea Hali hiyo ya vitu kuungua ninaweza wafungulia mashtaka?

Mkuu kwa kweli hapo Sina jinsi inabidi tu nikusameheWe jamaa bna jana ilikua wife kaja kunisalimia kazini na mtoto Sasa mtoto ndo akawa anachezea hyo switch ya kuwasha na kuzima umeme katoto ni malaika hajui kitu unataka kushtaki nn Sasa? Au hujui ningemkataza angeanza kulia
Asante mkuu kwa uchanganuzi murua wa sheriaKm TANESCO wenyewe walifanya wiring una haki ya kuwashitaki na watakulipa ila km siyo wa TANESCO hawawezi kukulipa.
Kwa mujibu wa kifungu cha sheria cha kulipwa pindi vifaa vyako vitakapoungua
Mkuu ni vile tu watz tunapenda kuchukulia poa Mambo ila nadhani kuna haja ya bunge kujadili kero za tanesco maana wao ni wawakilishi wetu ,Kuna mda watu wanapata hasara kutokana na uzembe wao kama hii kukata na kuzimaVikatie bima labda?
Alafu vitu bongo havijaanza kuungua leo wala jana,kila siku miaka nenda rudi mazagazaga ya watu yanaaungua ushawahi sikia au ona mtu analipwa
Zinaungua nyumba tu na hawalipwi sembuse
Pasi fridge etseteraaa
Ova
Bunge hawawezi jadili masuala hayoMkuu ni vile tu watz tunapenda kuchukulia poa Mambo ila nadhani kuna haja ya bunge kujadili kero za tanesco maana wao ni wawakilishi wetu ,Kuna mda watu wanapata hasara kutokana na uzembe wao kama hii kukata na kuzima
Tuna miaka 60 Sasa Kama bado tun ategemea tu ruaha wakati tuna vyanzo vingi inasikitishaPa kulalamikia ni kwenye chanzo cha mto Ruaha, maana bila huo nchi haina umeme
Daah mkuu tanesco hawatoi elimu hiyo wakati wanajua hawako vizuri,pia mkuu vitu vinavyotumia UMEME ni vingi taa ndio ziongozazo kuharibika uko mchezo wa kukata na kurudisha ukiwa unafanyikaSAHAU,
weka guard kwenye vifaa sensitive mfano friji nunua fridge guard, nunua 'surge arresters' kwa ajili ya TV na vifaa vinginevyo
Wana nyumba pia Zina UMEME,halafu hizo ni kazi zao mbona meseji za kwenye simu zinazoingia hovyo hovyo zinawakera wanazijadiliBunge hawawezi jadili masuala hayo
Mzee,kwani wao wana guswa au kuumia
Ova
Tuna miaka 60 Sasa Kama bado tun ategemea tu ruaha wakati tuna vyanzo vingi inasikitisha