Imetokea kweli. Mama Samia Hassan Suluhu ni Rais wa TanzaniaKuna Mtabiri mmoja alisema Tanzania hivi karibuni tu atakuja Mwanamke... malizia !!
Watu mnaona mbali sanaWataalamu,
Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata rais mwanamke, je mume atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ili kuwa karibu na rais?
Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Nakusalimia brotherHaitakuja kutokea
Tumemuona....uliwahi kumuona mume wa mama samia?
Tanzania nimeweka rekodi na kutambulika....Imetokea kweli.Mama Samia Hassan Suluhu ni raisi wa Tanzania
Huyo mtabiri ni-pm namba yakeKuna Mtabiri mmoja alisema Tanzania hivi karibuni tu atakuja Mwanamke... malizia !!
Nikusihi tu ndg yangu ukiendekeza hayo.. basi maisha yako yataishia pabaya na utakuwa tegemezi !!Huyo mtabiri ni-pm namba yake
Haitakuja kutokea
Sheikh Yahya Hussein na amefarikiHuyo mtabiri ni-pm namba yake
Hatimae yametimiaKuna Mtabiri mmoja alisema Tanzania hivi karibuni tu atakuja Mwanamke... malizia !!
Haya sasa imetokea!Haitakuja kutokea
Ikane kauli yakoHaitakuja kutokea
Secret society " atakuja Rais mwanamke, baada ya mwanaume mmoja ampendae kuchekesha watu atotawala muda mrefu"Utabiri gani...janja tu..
Watu wanajua mengi sana hapa chini ya jua!....
Message sent ile !
Yametimia sasa..Kuna Mtabiri mmoja alisema Tanzania hivi karibuni tu atakuja Mwanamke... malizia !!