PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza saatu za vifaa.

Nikashangaa maana sio kawaida.

Tumetoka msikitini tayari Sasa hivi ndiyo tunakula ubwabwa na ndizi tukishamaliza kushushia na Pepsi baridi tutakuja kukujibu...
 
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa.

Nikashangaa maana sio kawaida.
Walikua wanakula wali na nyama
 
Tunataka kuwachinja nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu.
 
Back
Top Bottom