Ijumaa hii ni Balaa- No Money

Ijumaa hii ni Balaa- No Money

Poa, Poa.
we njoo Pale pale (
wambea macho kodoo).
Promise kama Hutanitenda (
mengine siri yetu Vin Diesel)

nakuja my dear Madame B...ngoja kagiza kaingie ingie...tukitoka hapo moja kwa moja kwenye kiyoyozi...eti dar joto,...nani kasema.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Last edited by a moderator:
nakuja my dear Madame B...ngoja kagiza kaingie ingie...tukitoka hapo moja kwa moja kwenye kiyoyozi...eti dar joto,...nani kasema.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Poa, wangu usijali ila Ulivotaja hiyo makitu tu, Mwili wangu umenisisimka. Vin Diesel pia usisahau yale makitu, si unajua bado nipo nipo sana.

Last edited by a moderator:
Poa, wangu usijali ila Ulivotaja hiyo makitu tu, Mwili wangu umenisisimka. Vin Diesel pia usisahau yale makitu, si unajua bado nipo nipo sana.

Usijali kazi yangu ni kukausha misisimuko na mihemko yote....ila tuanzie dinner kwanza.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Last edited by a moderator:
By Amyner

Wantanshi kipenz.. vivian njoo!!

Amyner wantash ndio wapi shosti.

Mie nipo home.

Ukifika kinondoni manyanya just look your right utaona hiyo nyumba hapo chini

577908_197595563710680_621196857_n.jpg
Oooh nakuona hapo na gauni lako!

Watu na matanuzzzzz!
Muwe mnabanabana vihela ili frahiday ikifika msiwe wakavu.

full kufulia nadhani huu mwezi idadi ya machangudoa itaongezeka .hata wake za watu wanadai talaka rejea ili waingie mtaani kuzichangisha ! acha nijifungie tu ndani upepo upite

Mmmmhhhh???

Back
Top Bottom