Dr. zero Yaani acha tu.Watoto wanaenda shule kesho, kimetoka ki M na upuuzi, hapa ni mawenge matupu
Dr. zero Yaani acha tu.
Kodi ya nyumba inaisha wiki ijayo @ 350,000 a month for the year ninadaiwa 4,200,000/=
March Mzumbe wanataka final settlemeny ya ada yao 2,250,000/=
sasa hii 6,450,000 ndani ya miezi miwili natoa wapi?
Hivi nyie wanaume mko wapi?
full kufulia nadhani huu mwezi idadi ya machangudoa itaongezeka .hata wake za watu wanadai talaka rejea ili waingie mtaani kuzichangisha ! acha nijifungie tu ndani upepo upite
Wajameni Ijumaa hii ina Dalili zote za January.
How is you pocket placed today?
![]()
Duh ..Nashukuru deal yangu ya mwisho niliifunga vizuri mwisho wa mwaka .....baada ya fujo zoote nimebaki na kitu kama 23M nafikir inatosha kuukabili mwanzo wa mwaka ....kodi 600,000/month = 7,200,000/- , watoto watatu ada each 960,000X 3=2,880,000/- ,vimeo vingine vya hapa na pale 3,000,000 jumla yote ni 13,080,000/- .Nabaki na kama 10M ...Duh Vivian ukiwa tayari nikupe mkopo lakini kwa riba nafuu ,ila kurudisha ndani ya miezi mitatu...au unasemaje?