ye muache amwage sera,kama anajipenda.
Wajameni Ijumaa hii ina Dalili zote za January.
How is you pocket placed today?
![]()
Na sisi majukumu ni hivyo hivyo"Dr. zero Yaani acha tu.
Kodi ya nyumba inaisha wiki ijayo @ 350,000 a month for the year ninadaiwa 4,200,000/=
March Mzumbe wanataka final settlemeny ya ada yao 2,250,000/=
sasa hii 6,450,000 ndani ya miezi miwili natoa wapi?
Hivi nyie wanaume mko wapi?
Na sisi majukumu ni hivyo hivyo"
Kilichobaki ni ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
Copy kwa Mamndenyi watu8 Vin Diesel
Hahahaaaa ngoja wakiuzwa wao nawanunua mimiBishanga hana shida keshatulia kwa The secretary wanakula za mkopo.