Whaaaaaaat? Whaaaat?
Me love u more Madame B....mi na wewe damudamu.
Ahsante vivi ila mtihani wangu ulikuwa hivi;; nilimaliza kujenga mwaka jana June,akatokea mtu hela inamuwasha akaipangisha ilivyoisha tu ,akalipa hela nzuri kwa miaka miwili ,nilikuwa na njaa sikuiacha...nikaanza tena msingi mwingine.....Mh!! ngoja nitaku PM. Zamazamani.
Halafu hiyo kodi ya laki saba hamia nyumba ya laki tatu na nusu the remaining amount jenga msingi kwenye kile kiwanja chako
Erickb52 sijui uwatanunua wote au itakuwaje hapo.
Too late musee
Promise Vin Diesel...........!!!!!!!!!!!1
Afu unakumbuka?
Hebu fanya mpango tuonane baadae....
Promise nimetoa nyingi sana,hebu nikumbushe tafadhali.
Amyner wantash ndio wapi shosti.
Mie nipo home.
Ukifika kinondoni manyanya just look your right utaona hiyo nyumba hapo chini
![]()
Manyanya??? Labda maviazi ndio iko hii lol