Ijumaa hii naomba kuchop your money

Ijumaa hii naomba kuchop your money

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,002
Madadiiito na mashostito, Ijumaa hii hapa tena.

Kuna kiti moto nzuri sana pale kinondoni Hugo bar if am not wrong

Saa kumi na mbili jioni tukutane pale

485115_212574422222691_4527242_n.jpg
 
Kesho njoo LEO TUPO HAPA PUB au kaka Mtambuzi hajakupa mualiko?? dada Madame B do the needful pliz.
 
Last edited by a moderator:
HahA samaki kitimoto. I love it!!
Tonykp hii haihitaji mjadala wa nani achinje huwa inachinjwa bila ibada ya aina yoyote.

Sore vivian, siji ng'oo!
Arushaone njoo bana. Bia nitanunua mimi kama unakunywa, kwani unakunywa ngapi niandae kabisa mshiko?

Ngoja waje uhamsho walipue na kuchoma thread yako
Yona edson achana na hao mchemsho sijui nini, wanaboa sana. Eti wanataka zanzibar huru. kwani mkoloni wao ni mapadre?

mh... hata kuchungulia sichungulii...
Kibanga huchungulii nini?

Kesho njoo LEO TUPO HAPA PUB au kaka Mtambuzi hajakupa mualiko?? dada Madame B do the needful pliz.

oooh my @mebtor nitakupigia, though huwa unanipa wasi wasi xana.

vivian umeamua kujilipua?

Kujilipua na nini tena Hommie Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom