Ijumaa hii naomba kuchop your money

Ijumaa hii naomba kuchop your money

Tonykp hii haihitaji mjadala wa nani achinje huwa inachinjwa bila ibada ya aina yoyote.

Arushaone njoo bana. Bia nitanunua mimi kama unakunywa, kwani unakunywa ngapi niandae kabisa mshiko?

Yona edson achana na hao mchemsho sijui nini, wanaboa sana. Eti wanataka zanzibar huru. kwani mkoloni wao ni mapadre?

Kibanga huchungulii nini?

oooh my @mebtor nitakupigia, though huwa unanipa wasi wasi xana.

Kujilipua na nini tena Hommie Mamndenyi

Hata wale ndugu zetu hiyo inawahusu
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 jamani mie nilikupa P.O.Box yangu unidumbukizie hata barua sijapata mpaka leo
Mie bado niko Analog za siku tele?
Mbona niliruma barua ila haikuwa na majibu nikadhani imekutana na mfumo wa analogia ikakwama!
Mi mzima kabisa naendelea kula samaki alonipa vivian huku nikijiandaa kwenda kuchopiwa my money.
Halafu vivian leo Njia ya msalaba inakuwaje mambo ya kuchop macash? Au mid nite?
 
Noted nitajaribu kucheki na mwenyekiti wa mtaa wangu
Haya kuhusu Weekend na vivian jioni tutakutana mitaa hiyo
 
ngoja niombe visa: The secretary darling,unaniruhusu niende,angalau kwa reo tu,siku nyingi vivian sijamtia machoni ujue!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom