Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 687
Kama hawa kataa ndoa wanawasha moto ila kuuzima hawawezi.oa msela huwez jua bahat yako.sio kila ndoa mbovu oa kwanza utesti unaweza ukatoboa
Wenye ndoa wanaenjoy mno.kataa ndoa ngoma yenu ni uzee.
Issue sio kuoaKama hawa kataa ndoa wanawasha moto ila kuuzima hawawezi.oa msela huwez jua bahat yako.sio kila ndoa mbovu oa kwanza utesti unaweza ukatoboa