Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

Kwa mtizamo wangu na uzoefu kwenye ndoa mwanamke mjinga umepatia sana ila mwanamke mwerevu hujapatia sana umezungumzia zaidi mahaba

Ikumbukwe ndoa bila mahaba hufa kibudu.. mama zetu walikuwa wamama wa nyumbani na hapakuwa na mdada wa kazi. Ila ndoa zilikuwa na amani na upendo maana walijua nafasi zao ktk ndoa na waliwapa mahaba waume zao bila visingizio.

hivi niulize kitu kwani mtu akiwa ofisini ama nyumbani ni kwamba yupo occupied na kazi toka asubuhi hadi jioni..!?
usipokuwa na ratiba ya shughuli zako ndio utajiona upo busy mda wote ila ki ukweli hamnaga ubusy kiasi cha kusema utashindwa kumjali mwenzako. Mbona mabeki 3 wanafanyaga kazi zote za ndani na bado wana na mda wakuangalia tv na kuchepuka na kuzurura..!? Ama wao wana mota mwilini..!?

mwanamke mwerevu huwa na mahaba na ndio kinachofanya mme amjali na kuipenda nyumba. Wanawake wa pwani,uarabuni,uhindini hili walilijua mapema na ndio wanapowapiga bao wanawake wa mikoa tofauti na pwani,wazungu na wachina.
 
Wanachoka nao hao wanawake... wanakazi zaidi ya moja... makazini... nyumbani... na kumuhudumia mtoto... kumuhudumia mume...
Ni jukumu walilopewa na mungu hilo... kama ww ulivopewa jukumu la kuilinda familia,kuilisha,kuitunza na kuwapa maisha bora.
Usipojipanga watakupanga tuu, maana maisha bila ratiba na mpangilio ni kuja kufa maskini ama ndio ile unajifunika shuka kumekucha
 
Back
Top Bottom