Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

hamna mahala pamesema umekaa ila pamesema umejipumzisha na kama ni mwelevu basi utajua ni mtu kajilaza ndio uwezekano wa kukaliwa mgongoni ukawepo.
Ila bila shaka na ww ni mwanamke MJINGA hvo hujui kumpet pet bwana ako.
Dogo hebu na wewe Uowe (uwe na ndoa) ndio itahadithia hapo ni bado kabisa
Mwanamke atoke kazini aje kukaa kwenye kocho mtakula nini
Mwanamke wako halimi
hakuonesho mshahara
hapiki
hafui hamsaidii Beko 3
hazai na kujua majukumu yake
sana sana na ww kufanywa mtumishi wa banda la mifugo tu
Mwanamke hana Sifa wala kasoro usimuangalie wa mwenzio wakati wa kwako ndio wa kulalia makochi
 
Hiyo ya kulala mapema ungeifafanua. Yaani ukeshe unaangalia movie au mpira mpk saa 8 usiku mimi nipo macho tu? Kama nasikia usingizi nifanyaje?
Umechelewa zako kurudi upo bar mpk saa 9 usiku mimi nipo macho tu nakusubiri nisilale? Hayo yatakuwa mateso.
Fafanua kidogo la sivyo haijakaa sawa. Naweza kusinzia kwenye kochi ukiwa unaangalia mpira ukimaliza niamshe tukalale.
 
sijaelewa ulichoandika ila ntajaribu kujibu nilichokihisi ktk post yako..

mwanamke sio jukumu lake kukulisha ww ila yy anatakiwa akupikie ule
mshahara wake ni kwa ajili ya yy na watoto akusaidie kuilisha familia akitaka ila huna haki ya kudai aweke kodi ya meza
ukiweka beki 3 nyumbani maana ake ni kwamba unautambua u~busy wa mkeo hvo atasaidia pale akiwa free
ww kuwa mtumishi nyumbani kwako ni sifa moja wapo ya baba wa familia, unakuwa mfano bora kwa watoto na mkeo kuwa wajitume ktk kazi za nyumbani
Kazi za nyumbani zina mda wake na mapenzi yana mda wake na vyote hvo vnaoana maana ndio vnajenga nyumba ya amani

*by the way ndoa sio mahali pekee pa kuexperience maisha ya kindoa, hata serious relationship ni darasa pia
 
Hiyo ya kulala mapema ungeifafanua. Yaani ukeshe unaangalia movie au mpira mpk saa 8 usiku mimi nipo macho tu? Kama nasikia usingizi nifanyaje?
Umechelewa zako kurudi upo bar mpk saa 9 usiku mimi nipo macho tu nakusubiri nisilale? Hayo yatakuwa mateso.
Fafanua kidogo la sivyo haijakaa sawa. Naweza kusinzia kwenye kochi ukiwa unaangalia mpira ukimaliza niamshe tukalale.
As a woman unatakiwa ujue namna ya kumhandle mmeo na namna ya kumfanya akutii bila kujihisi anapelekeshwa.
Mmeo akiwa bar hadi saa 9 ni wazi kuwa mlianza katika misingi mibaya hvo huezi ikataza na hatobadilika labda ajisikie yeye.
Mpira sio kila siku hvo kna udhuru kama vile ww unapokuwa mwezini na hamna unyumba kwake.

Ila cha msingi ni usilale saa mbili na hali hata hujajua mmeo amekula,kuoga na siku yake imeendaje ktk mihangaiko
 
Huyo mwanamke hana kazi wala hazai maana mambo mengi ya kimahaba kwa mwanamke anayefanya kazi za kuingiza kipato na kazi za ndani nivigumu kuyafanya,. Ila hilo lakuficha mshahara nakujenga kwao, ukikuta mke wako yuko hivyo kimbia mapema huyo nisumu
 
Kwa mtizamo wangu na uzoefu kwenye ndoa mwanamke mjinga umepatia sana ila mwanamke mwerevu hujapatia sana umezungumzia zaidi mahaba
 
7109, member: 267468"]Mhh.. Kumbe nyie ndio mnaolewa kwa sababu zenu binafsi ila deep inside hamna hata chembe ya mapenzi na mhusika. Hivo afanyalo lolote ni sawa as long as haliingiliani na interest zako..!?

Kwa nn wanawake mna umimi sana na uchoyo..!?[/QUOTE]
Wewe ukachepuke kisa huvuliwi soksi sijui na utumwa gani mwingine, unataka mimi nifanyeje? Upendo na heshima kutoka kwa mkeo haitoshi? Wewe ni mtu mzima na unajua unachokifanya. So don't expect me to be chasing you around. Nitaweka focus yangu kwenye mambo mengine kama familia na kazi. Ukiamua kujirudi poa.
 
Wanachoka nao hao wanawake... wanakazi zaidi ya moja... makazini... nyumbani... na kumuhudumia mtoto... kumuhudumia mume...
 
mwanamke bora ni yule anamnyenyekea na kumwogopa mwenyezi Mungu wala hayuko kwenye fikra za mwanadamu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Akimwogopa&kumnyenyekea mwenyezi Mungu lazima atakuwa NA sifa thabiti zenye kumpendeza mwanaume yeyote hasa yule aliepangiwa kuolewa nae NA mwenyezi Mungu!!!
 
Hiyo namba 8 inanikera haswa,hata Cc miss chagga anajua
 
Mm naona kwa kipindi hichi,wajinga ndio wengi.halafu wanawake wengine hawaelewi,wanataka usawa na mwanaume,wakati aliyelipa mahari ni mwanaume.halafu kuna makabila mengine kuoa ni sawa na kununua samtrela, mahari ni. Ng'ombe 24 mbuzi 72. Halafu ndio ajekukuringia,wamama jifikirieni tena.
 
hv mkuu Fundi chupi i wonder hili jina ulijipa kwa kutumia vigezo gani!??
Nilitumia vigezo vifuatavyo..

najua kushona nguo mana nilifunzwa na mama kujishonea vifungo vya shati vikitoka pindi nipo nasoma shule ya msingi.
nikiwa na opp gender na sio ndugu yangu huwa najitahidi sana kuwa mshawishi hvo nakuta natunukiwa mara kwa mara bila kutegemea
ukiona unabakwa na mwanamke usiku ama kuombwa mgegedo kila mkiwa wawili basi jua ww fundi ndio maana uwapo karibu tenda zinakujia haraka

kwa vigezo hivo nikaona niwe fundichupi maana napenda kuzishona tena zile mbichi mbichi zilizojazia haswaa
 
Mm naona kwa kipindi hichi,wajinga ndio wengi.halafu wanawake wengine hawaelewi,wanataka usawa na mwanaume,wakati aliyelipa mahari ni mwanaume.halafu kuna makabila mengine kuoa ni sawa na kununua samtrela, mahari ni. Ng'ombe 24 mbuzi 72. Halafu ndio ajekukuringia,wamama jifikirieni tena.
maneno kuntu kama waswahili wasemavyo..

*mwanamke akidai usawa usimkatalie ila cha kufanya mwambie usawa hadi ktk huduma na hakiki mnagawana majukumu hadi ya kodi ya meza
 
Back
Top Bottom