Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

Hahahaaaa majina haya eti fundichupi tehe tehe.....
 
Kama hivi ndo vigezo pekee vya kumtofautisha mjinga na mwelevu basi wanawake wengi ni "wajinga".
Siamini katika unachokiamini
 
Daddy nikiona tu suala la kumvua soksi hubby najikuta nacheka eti. Nipo busy na course ya massage na ukinyozi. Huduma zote zitapatikana home
Teh teh..Yani huyo mwanamme akichepuka sijui atakuwa anatafuta nn..Mana si kukaba huko...Hiyo ya soksi imekaaje?
 
Mwanamke mjinga:-

1. Anamkomoa mumewe.

2. Analala mapema kabla ya mumewe.

3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.

4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.

5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa

6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za watu wakati yeye ndo kigezo cha kero.

7. Hataki kuzungumzia mshahara wake.

8. We unajenga familia ye anajenga kwao

9. Mkikaa anaanza umbea ama kuponda ndugu na majirani.

10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho, ila ye anakudiscourage wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea. kuhusu lara 1 kafumaniwa gesti.

11. Nyumbani housegirl hapumziki. 1

12. Anajali ajira yake tuu na hataki kufuatiliwa mambo yake.

NOTE: Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2, anazinguliwa anapigwa toto lingine na wajanja wa mtaani, unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.

Mwanamke mwerevu;

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini, nguo zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi? unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi, hujui hata atazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4. Umejipumzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia mgongoni anakufanyia masaji mgongoni, ( alijuaje unataka ufanyiwe masej? Unaishia kusema Thanks baby).

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwenye familia)

6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama nyati anatafuta maji)

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu, mf: umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu, usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpk uajiriwe).

NOTE: Hawa ndio type ya kuoa na kunyenyekea maana wanajielewa.
Kweli wewe fundichupi
 
Teh teh..Yani huyo mwanamme akichepuka sijui atakuwa anatafuta nn..Mana si kukaba huko...Hiyo ya soksi imekaaje?
Hamna hiyo ya soksi huwa najikuta tu natabasamu, mnapenda raha nyie viumbe mweee. Teh yani nakaba hadi kwenye hamna
 
Hamna hiyo ya soksi huwa najikuta tu natabasamu, mnapenda raha nyie viumbe mweee. Teh yani nakaba hadi kwenye hamna
Teh teh...Hao wanaume wanaostahili kufanyiwa hivyo huko kwenu wapo?
 
Teh watakuwepo tu. Ingawa pia unaweza ukastahili kufanyiwa lakini usifanyiwe chochote
ukiona hivo jua hajapendwa kumoyo bali unapendewa mwonekano na unachoweza provide ktk life lake ili liwe zuri. Hvo yupo 7bu ya shida zake tuu
 
ukiona hivo jua hajapendwa kumoyo bali unapendewa mwonekano na unachoweza provide ktk life lake ili liwe zuri. Hvo yupo 7bu ya shida zake tuu
Mmh haya mambo hayana formula ujue. Kila mtu anamcare mtu wake kwa style yake, wengine care ya aina fulani anakustopisha. So ni kumjua tu mtu wako anapenda nini then you just go with the flow
 
Na aende.
Mhh.. Kumbe nyie ndio mnaolewa kwa sababu zenu binafsi ila deep inside hamna hata chembe ya mapenzi na mhusika. Hivo afanyalo lolote ni sawa as long as haliingiliani na interest zako..!?

Kwa nn wanawake mna umimi sana na uchoyo..!?
 
Back
Top Bottom