Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

Matajiri wanasex balaa na ajabu utajiri wao hauishi, Ila Sasa mtu fukara yeye anaambiwa fukara kwakuwa anatombana na aache kabisa...
Suleimani alitomba mpaka Basi Ila hakufilisika hata midogo...
Maskini wanaonewa Sana hapa duniani
Unajua nguvu wanayotumia kupata utajiri wao? Umeshasema ni mafuska, sasa tafakari ni mungu yupi anayeruhusu hayo. Wengine wanafanya hivyo kutimiza maagano. Tazama imani za mitume na manabii wa leo, ni mafuska nje ndani!! Wanapotenda hayo wanazidi kuwa maarufu na matajiri, unadhani ni nguvu ipu iwapayo utajiri? Kama wewe umeamua kufuata upande huo, usichanganye ya Mungu Mwenyezi, kuwa mshirikina tu inatosha.
 
Kuna ukweli pale ukilala na mtu mwenye gundu na mikosi unaipata hii ni kweli uongo ni huu asilimia ya wanawake wale wanaume waliowatoa bikra wakiwatafuta hata kwa salamu tu wanawakimbia .
Hadi mbaya .
Ni mtu ukiliye zaanaye ndio kamwe humuachi kisa matunzo ya mtoto na mmekuwa kama baba namama maana hamjaoana mtoto ni wanjee .
So ni haramu .
Hili nimelisikia kwako, lakini tunaishi kwenye jamii na tena tunayaona haya. Kwa nini tubishane?
 
Nimeanza kwa kusoma comment tuu nlivyoona unaiongelea vibaya "bakari nondo" nimeghairi kusoma
 
Nimesoma uzi wooote nikaulewa vizuri sana,ingawa kwa faida yangu ninatakiwa niurudie mara nyingi zaidi ili ukae moyoni mwangu.Majibu yako uliyokuwa unajibu Nyenyere sibure kuwa kuna nguvu ya Roho mtakatifu nyuma yake,sina shaka kila jibu nyuma yake lina mstari wa neno la Mungu,hapa hakuna uchakachuaji hata tone,May God bless you...
 
Kwahyo ambao hatujawahi kuoa bikra au hatujawahi kutoa bikra hatuna agano lolote?
Ndo maana Iko DAMU ya YESU!
Ndo maana Iko namna ya kutoa nafsi yako huko zilikokuwa zimenaswa,zikawa huru na kifunganishwa na mkeo!

Ni maarifa tu ya namna ya kuomba na kujitoa,kujinasua...
 
**************************************
SEHEMU YA PILI
**************************************

Mapenzi na wengi
Mwanamke akifanya mapenzi na wanaume wengi huhifadhi copy zao ndani yake. Hata pale ajapoolewa zitamsumbua sana, kwani mwanamume wa awali akitaka mchezo, kopi yake iliyo ndani ya mwanamke huamka na kuutiisha mwili. Hujikuta dhaifu mno asiyeweza kujizuia kuutoa mwili wa mumewe kwa mwanamume mwingine. Ukitaka kuamini hili ongea na mwanamke, pale aonapo picha ya mpenzi wake wa zamani, au akipigiwa naye simu asikiapo sauti, au wakikutana ghafla hata kama ni baada ya miaka mingi kupita, hisia za awali huamka ndani yake. Unahitaji juhudi ndogo tu kulala na mwanamke huyu tena kwa sababu tayari kuna kivuli chako moyoni mwake.

Sasa mfano binti asiyeolewa akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza, huweka agano la maisha na huyo mwanamume. Ndio maana wanawake wengi wako radhi kumvulia nguo mwanamume aliyewatoa bikira wakati wowote akitaka mchezo, hata kama wameolewa. Huwa kama kondoo aliye machinjioni akisubiri kisu tu kipite shingoni. Nguvu ya agano la damu hutenda kazi.

Lakini binti huyu kadri anavyoendelea kutembea na wanaume mbalimbali hujiwekea ndani yake copy zao na kusababisha machafuko katika ulimwengu wa roho. Nafsi yake huwa na muunganiko na nafsi mbalimbali za wanaume, hivyo hata kama ataolewa, ni vigumu mno kwa mume wake kumtuliza nafsi mwanamke huyu, kwa sababu wameungana kimwili lakini kiroho sio mwili mmoja . Mwili mmoja ni pale nafsi mbili huru zinapoungana na kuwa nafsi moja. Ni vigumu sana kwa mwanamke huyu kudumu kwenye ndoa kwa sababu nafsi yake inaambatana na waume mbalimbali. Ni kwamba mwanamume mmoja kati ya wengi amejitwika mzigo wa kuuhifadhi mwili wa mwanamke huyu hali nafsi ikiwa na mafungamano mengi.

Mambo haya husababisha ndoa kuyumba na hivyo migogoro haitoisha kamwe. Tayari kuna muunganiko wa nafsi mbalimbali ambazo zina haki sawa ndani yenu. Ndio maana nasema ndoa sio jibu la mzinzi. Kwamba akioa au akiolewa ataacha!! Wala kwenda kanisani sio jibu hata kidogo. Kumbuka mwili ndio uendao kanisani, lakini roho yaweza kuwa mbali mno.

Hili pia ni jibu kwa wanawake wanaolalamika kuachwa na wanaume waliowatarajia kuwaoa. Mahusiano huwa matamu mpaka pale wanapofanya mapenzi, ndipo vurugu huanza, sababu tayari kuna muunganiko na wanaume wengine. Emotion energy za wanaume waliotangulia kuhifadhi ndani ya mwanamke zinapambana na energy ya mwanamume huyu mpya na kuvuruga mahusiano.

Siri ya mafanikio kwenye ndoa

Kuna wadau walianza kupinga hata kabla ya kusikia nini kinasemwa. Haya tuendelee...

Mungu alipowaumba Adamu na Eva aliwabariki kwa baraka ambazo NDIZO NGUVU za kuitawala dunia. Tusome:

Mwanzo 1

²⁷ Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
²⁸ Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.


** Hebu tuzitazame kwa kina hizi baraka:
1. Zaeni - tendo la ndoa
2. Mkaongezeke - tendo la ndoa
3. Mkaijaze nchi - tendo la ndoa
4. Na kuitiisha; kwamba mkisha tekeleza hayo mtaitiisha nchi,mtaitawala na kuwa himaya yenu. Zingatia hizi alama (;) kwamba maneno yanayofuata yanafafanua kuitiisha kwa jinsi gani. Kwa kutawala majini, angani na nchi kavu.

Hizo ndizo baraka alizopewa mwanadamu, lakini umegundua nini? Baraka hizo zimefungwa kwenye ndoa . Kwamba huwezi kuzaa ama kuongezeka pasipo tendo la ndoa. Hapo ndipo ilipo nguvu ya barakahizo.

Kumbukumbu la Torati 8
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Amri hii ninayokuamuru leo mtaishika kuitenda, mpate kuishi na kuongezeka, na kuingia katika nchiile ambayo Bwana aliwaapia baba zenu; nanyi mtaimiliki.


** Tazama kwa umakini, Mungu anarudia ahadi ile ile ya Adam na Eva kwa wana wa Israeli.

1. Mpate kuishi - tunatengeneza uhai kwa tendo la ndoa
2. Kuongezeka - kuijaza nchi
3. Kuingia katika nchi
4. Kuimiliki - kuitiisha

Kumbe kuishika amri ya Bwana kunapelekea baraka zake maishani mwetu. Tena mbele kidogo Tu aliendelea kuweka wazi:

⁷ Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yuakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito vya maji, na chemchemi, na visima, vibubujikavyo katika mabonde na milima;

** Hapo kuna maana nzito mno katika roho. Nikusihi weka akika neno hili nitalielezea hapo chini, lakini kwanza tuone hili:

¹⁷ Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo.
¹⁸ Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lakealilowapa baba zako, kama hivi leo.


** Mungu ndiye atupaye nguvu za kupata utajiri. Waendao kwa wachawi hupata nguvu zao huko, kwa sababu hawaelewi zilipo nguvu za Mungu. Agano la Mungu ni kumrejeshea mwanadamu umiliki wa dunia, ilivyokuwa kwa Adamu na Eva. Nguvu ya agano hili imo katika emotions. Kama vile Adamu alivyofunga agano hili kwa kutoa bikra ya Eva, ndivyo mwanamume anavyofunga aganohili kwa kutoa bikra ya binti.

Sasa tuangalie kuhusu hiyo aya tuliyoiacha hapo juu:

⁷ Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yuakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito vya maji, na chemchemi, na visima, vibubujikavyo katika mabonde na milima;

Aya hii (vijito, chemchemi, visima) imeelezewa vema hapa:

[Mithali 5[/B]
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.


** Hapa moyo wa mwanamke umefananishwa na birika, au tanki (cistern), ambamo mwanamume huhifadhi nguvu zake za hisia (emotional energy). Halafu tena sehemu zake za siri zimefahamishwa na kisima kinachobubujisha maji ambamo mwanamume humwaga mbegu zake humo na kuburudika.

Kwa hiyo, mwanamume anapaswa kunywa maji aliyohifadhi mwenyewe ndani ya birika ambalo ni mwanamke (emotions). Hii ni nguvu aiwekayo mwanamume ndani ya mwanamke. Kumbe mwanamke humpenda mume kwa kadri anavyokeza ndani yake hisia zake. Lugha nyepesi, utavuna ulichopanda. Mwanamke pia HATAKIWI KATU kuingiza nguvu nyingine tofauti na mumewe, kwani kufanya hivyo ni kuleta vurugu katika roho. Biblia inamwasa mwanamume kuwa anywe maji ya birika lake mwenyewe , sio kwenye birika la jumuiya. Kwamba mtu ambaye ameshaitoa nafsi yake kwa wanaume wengine, wakaweka hisia zao ndani yake, wakamwacha. Ndio maana wanawake wengi hutembea na majeraha ya kuachwa na wapenzi wao wa kale, kisha huingia kwenye mahusiano mapya wakiwa na SURA ZA WANAUME waliowajeruhi. Ndizo hadithi za wanaume wote wako hivyo.

Kisha mwanamume na anywe maji kutoka kisima (sehemu za siri)chake tu, yaani kujamiiana na mkewe tu. Katika nguvu za hisia, anywe katika birika alilojaza, kimwili sasa anywe katika kisima chake tu. Kutembea na wanawake wengi ni kutawanya nguvu zako hovyo, hivyo utapata taabu sana maishani, labda ujisalimishe kwa shetani full time. Kumbuka hizi ndizo nguvu zikupazo KUMILIKI juu ya nchi, hivyo ukizitumia hovyo huwezi kamwe kumiliki kwa mpango wa Mungu.

¹⁶ Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu (Street)?
¹⁷ Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe.


** Chemchemi ni nguvu ya hisia ndani ya mwanaume. Chemchemi haipaswi kukauka, nayo hutoa maji na kujaza kwenye birika lake (mke) daima. Kumbukumbu kumbuka chemchemi hapa ni FOUNTAIN, yaani yale mapambano ya mji yanayotoa maji kisha kumwaga kisimani na kurudi tena. Mfano kwenye jengo kubwa nje wameweka sanamu la samaki akitoa maji mdomoni kisha yakamwagika bwawani alipo samaki huyo kufanya pambo zuri. Hiyo ndio fountain au chemchemi inayosemwa hapa. Kwamba mwanamume anatoa emotional energy kama maji hayo nayo yanahifadhiwa kwa mkewe, kisha hurudi kwake tena na mzunguko huendelea. Fountain haimwagi maji hovyo mtaani, kwani ni yake tu na bwawa (birika) lake (mke).

“Should your fountains be dispersed abroad, Streams of water in the streets?”
— Prov 5:16


Mito ya maji ni shahawa ambazo hutoka kama uthibitisho wa hisia katika mwili. Huwezi kumwaga maji kwenye njia kuu (street - kjv) kila mtu anapita anajisevia tu. Yaani wewe unagawa nguvu zako hovyo kwa wanawake wageni wanaopita mtaani?

Sasa ni makosa kutoa hisia zako kwa wanawake wa mbali nawe zaidi ya mkeo. Tena usiruhusu kumwaga shahawa zako hovyo kwa uzinzi kwani ni nguvu zako mwenyewe, zihifadhi mahali ambapo utakuwa ukizichota tena na tena ili kupata nguvu zaidi. Tena mkiunganisha nguvu zako za chemchemi na nguvu za kisima cha mkeo kuimiliki nchi.

¹⁸ Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako.
¹⁹ Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima
.

** Hapo ndipo zilipo baraka za Mungu, kwenye chemchemi yako. Ndipo zilipo nguvu zako kutoka kwa Mungu zikupazo utajiri. Ni hapo palipo na furaha ya mke wa ujana (bikra) kwa sababu ni mke wa agano lako.

Inaendelea........ View attachment 1531300



Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne, client3, Boeing 757
Naona umeongelea Kwa kubase upande wa mwanamke tu
But hili Lina apply kote sawasawa kiroho
Hata mwanaume anaelala na wanawake wengi nafsi yake inaunganishwa na wanawake wengi (soul tie)na madhara yake ni yaleyale !

Uzuri ni mmoja tu ,Iko namna ya kutoka!
 
Ndio tunaelekea huko
1. Maana ya ndoa
2. Kwa nini ndoa zinayumba
3. Kwa nini mabinti hawaolewi
4. Hatua za kuchukua kuweka sawa
5. Furaha ya kweli katika ndoa
Uko sahihi kabisa
Ila naona tatizo umeegemea Kwa wadada tu umeacha wanaume wakati shida kiroho ni the same!
No.2,3....
Sbb za kiroho zinafanana km wote mlishaanza zinaa kabla ya ndoa...
 
Nakesha hapa hapa sitoki mpaka umwage madini Why Nyeto ni mbaya na uje na dawa ya kututakasa kabisa
Mkuu dawa ipo
Ni toba tu Kwa Mungu!
Kujitakasa ni damu ya Yesu tu inaweza takasa buree kabisa
Nisiharibu mada!
Atamalizia mwenyewe nyenyere....
 
Namna gani ya kutoka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani nikujibu Kwa mistari ya biblia ila naamini mtoa mada kashaweka kwenye bandiko huko mwanzo....

Sijui we ni mkristo au laa...
Ila sie tunatoka Kwa -kuomba Toba (kutubu na kumaanisha kuacha)...mf hapa mi niliitaja hii dhambi mbele ya Mungu na kuomba anisamehe
-kujitakasa Kwa kutumia Damu ya Yesu!
Mf,hapa nilikuwa nawataja watu niliodate nao nikawa natenganisha nafsi yangu na zao,na kuanza kujitenga nao ktk ulimwengu wa roho,mmoja baada ya mwingine,na kufuta kumbukumbu zao zote kwenye nafsi yangu....
(Km hujui kuomba hapa ndo nikuelekeze kiundani) km unajua unaomba tu.
-mwisho unafuta maneno yote mliyoambiana wakati wa mapenzi,unayabatilisha,yale Huwa yanasimama km mapatano,unafuta,kuvunja maagano ya maneno na Hilo tendo pia ni agano!
Unatumia damu ya Yesu kujitenga nao, kuitakasa nafsi yako!

Na niliona mabadiriko sbb hata ndoto nilizokuwa nawaota maex zilikata zote!
 
Natamani nikujibu Kwa mistari ya biblia ila naamini mtoa mada kashaweka kwenye bandiko huko mwanzo....

Sijui we ni mkristo au laa...
Ila sie tunatoka Kwa -kuomba Toba (kutubu na kumaanisha kuacha)...mf hapa mi niliitaja hii dhambi mbele ya Mungu na kuomba anisamehe
-kujitakasa Kwa kutumia Damu ya Yesu!
Mf,hapa nilikuwa nawataja watu niliodate nao nikawa natenganisha nafsi yangu na zao,na kuanza kujitenga nao ktk ulimwengu wa roho,mmoja baada ya mwingine,na kufuta kumbukumbu zao zote kwenye nafsi yangu....
(Km hujui kuomba hapa ndo nikuelekeze kiundani) km unajua unaomba tu.
-mwisho unafuta maneno yote mliyoambiana wakati wa mapenzi,unayabatilisha,yale Huwa yanasimama km mapatano,unafuta,kuvunja maagano ya maneno na Hilo tendo pia ni agano!
Unatumia damu ya Yesu kujitenga nao, kuitakasa nafsi yako!

Na niliona mabadiriko sbb hata ndoto nilizokuwa nawaota maex zilikata zote!
Hapa mkuu umenigusa kabisa mm ni mkristu, nifundishe namna ya kuomba kuondoa hayo maagano

Hizo ndoto za maex wangu ndo kila siku naziota leo huyu kesho huyo japokuwa hazihusiana na maswala ya tendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dawa ipo
Ni toba tu Kwa Mungu!
Kujitakasa ni damu ya Yesu tu inaweza takasa buree kabisa
Nisiharibu mada!
Atamalizia mwenyewe nyenyere....
Muombe mleta mada na wewe uingize maarifa yako humu,kule jukwaa la Dini watu hawingii sana...
 
SASA KWANINI MUNGU WA ISRAELI ALIRUHUSU TALAKA ??? Na hata kuowa mke zaidi ya Mmoja..? katika Torati.

nakubali mwanamke akilala na Mwanaume hupata nguvu fulani ya Kiroho. Lakini haiwezi kuingilia ndoa yake ya baadae endapo atafata Utalatibu wa kuachana na huyo Mwanaume.

kwani Kuachana na Mtu ni kuachana kwa Kutengua kauli ya Kuwa yeye ni Mume au Mke wako na kuacha kusex nae, na kuvua pete kama ulivalishwa physically na kwa MANENO ya kufuta.
 
Naona umeongelea Kwa kubase upande wa mwanamke tu
But hili Lina apply kote sawasawa kiroho
Hata mwanaume anaelala na wanawake wengi nafsi yake inaunganishwa na wanawake wengi (soul tie)na madhara yake ni yaleyale !

Uzuri ni mmoja tu ,Iko namna ya kutoka!
Unatokaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom