Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

Uasherati na uzinzi. Unaelewaje?
Uasherati ni uzinzi anaofanya aliyeko kwenye ndoa (kuchepuka ukiwa ndani ya ndoa sio uchumba)
Uzinzi kufanya au kutamani kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa na baada ya kuoa ila na me/ke ambeye sio mwenza wako
 
Hajaoa au kuolewa lakini mwili wake kiasili umeumbwa na matamanio soon baada ya kubalehe anaanza kupata hisia za kufanya mapenzi, dini inasema nini kuhusu hilo?
So anapaswa kufanya suppression ya hizo hisia akidhi matakwa ya dini ya kusubiri mpaka aoe au aolewe to which anabalehe akiwa 10s na ataoa au kuolewa kuanzia 20s mpaka 30s na wengine mpaka 40s.
Hebu nyie warohoni wasaidieni vijana sio kuwaita wazinzi sijui waasherati wakati wanatii hisia walizoumbiwa pasipo ridhaa yao.
Maana Kama vipi ili wasitende dhambi waondolewe hizo hisia na sio ku supress hisia kitu ambacho kimsingi kina madhara makubwa tu.
Waarabu kijana akibalehe mzazi humuoza despite anasoma au la ila sisi weusi na wazungu tunasubiri kwanza huku tunazo hisia tunazihifadhi kinafiki tunajiona tunasubiri wakati.

Ikiwa bikira Maria tunaambiwa alichumbiwa akiwa binti mdogo alikuwa bikra, Sasa huyu unaemuokokesha halafu anasuburi amalize University ndipo apatikane mchumba amuoe, hicho kipindi chote hisia zake za kimahaba anapeleka wapi mnadhani?

Halafu tendo moja mnalipea majina mabaya kibaooo kiasi kwamba mnalimalizia utamu na kuleta madhara kisaikolojia kila mtu akitafakari saa hiyo kichwa cha chini hakisomi namba balaa tupu.

Watu wa vitabu mje mseme hapa.
1. Kama kutenda kabla ni kosa kwanini hisia ziumbwe kabla ya hiyo ndoa?
2 kwanini hizo hisia hazikuumbwa baada ya ndoa ili ibalansi mahesabu?
3. Kwanini mnazuia watu wasifanye wakati hawana option na hizo hisia zao, yaani ana njaa mnamkataza kula msosi uko mbele yake dah!
4. Sex Kama other basic needs why inawekewa masharti Sana?
 
Warohoni hawana majibu ya maswali yako. Wakikujibu nitag
 
1 Wakorintho 7: 7.Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
8. Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo 9. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa. 10. Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; 11. lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.

Kama uwezi kuzuia hisia zako ni bora kuoa hvyo ndivyo biblia isemavyo. Biblia haijaelezea umri wa kuoa/wala kuolewa hayo ya kuoa had umri flan ni mapokeo ya kibinadam tuliyojiwekea tu.

1 Wakorintho 10:31
Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.

Je uruhusupo hisia zikuongeze kwenye kuzini unafanya hivyo kwa utukufu wa Mungu? Hapana sio kwa utukufu wa Mungu bali inafanya kwaajiri ya hajazako za kimwili. Kumbuka dhambi ya uzinzi inaambatana na tamaa,husda,uongo na kubwa zaidi uzinzi ufanyika juu ya mwili wako mwenyewe. 1 Wakorintho 6:18. Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
 
Uasherati na uzinzi. Unaelewaje?
Ukitaka kuchunguza maana ya kila neno, najua tofauti utaikuta tu na kufanana pia kupo.
Lakini uasherati na uzinzi, dhambi hizi zimekatazwa katika Amri ya ngapi?

Na Yesu alisema ukitamani tu hata kama hujamvulisha chupi, umekwisha kuzini.
Hapo utaona maana ya neno kuzini inazidi ku pana.
 
Amani iwe nawe pia Mkuu.

Bandiko lako limejaa maarifa makubwa ambayo wengi wetu hatuna.

Tunaenda enda tu bila kujua, kumbe ni maagano tunaweka, kumbe tunaacha nafsi, kumbe ndo ndoa tayari.

Daaaah!!!
Ndugu zangu, amni iwe nanyi. Nimekuwa nikisema maandishi mbalimbali humu jamvini ambayo kwa baadhi yenu wamenichukulia kama adui wa wanawake na wengine kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakuwa msaada kwenye maisha yao.

Pia katika mojawapo ya mada zangu niliwahi kusema kuwa nitaandika kwa habari ya agano la bikira na Agano la shahawa. Wengi waliomba niandike kwa habari hiyo, nami napenda kusema kuwa leo ndio siku iliyokubalika mbele za Mungu niseme kuhusu SIRI HII NZITO katika lugha nyepesi kueleweka na kila atakayesoma. Hivyo basi, tuwe tayari kujifunza MAMBO MAZITO ambayo huathiri maisha yetu ya kila siku.

Baada ya mada hii nitatafuta siku nami nitasema kwa habari ya KUPIGA PUNYETO kwenye ulimwengu wa roho na jinsi tendo hili linavyohusiana moja kwa moja na kukosa mafanikio ya kimwili na kiroho maishani. Naomba tualikane kwa wingi ili tujadili pasipo hasira tuweze kujinasua na kikosi ya kujitakia.

Amani iwe nanyi nyote
Amina.

***********************************
***********************************

Kwa vile wako waliojiandaa kupinga ninachoandika, basi na twende kwa ushahidi wa maandiko.

SEXUAL INTERCOURSE
Hili ni tendo la kubadilishana nguvu kati ya mwanamke na mwanamume. Kiasili mwanadamu kaumbwa akiwa na nguvu kuu mbili:

1. Emotional energy - nguvu za hisia
2. Reproductive energy - nguvu za uzazi

Emotional energy
Nguvu hizi hutoka kwa mwanamume na kumwingia mwanamke kuanzia wakati wa mahaba na hukamilika wakati wa kuingiliana. Mwanamume akimwingilia mwanamke huweka nguvu hizi ndani yake nazo hudumu humo. Mwanamke yeye hupokea na kuzihifadhi nguvu hizi na hivyo kuwa ndani yake kwenye nafsi. Hapo mwanamke na mwanamume huwa nafsi moja (wameunganisha nafsi zao kutengeneza nafsi moja).

Mwanzo 2
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²³ Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
²⁴ Kwa (sababu) hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja (watakuwa mtu mmoja).

** Adamu alianza kwa hisia dhidi ya Eva, akamwita mfupa katika mifupa yangu nk. Baada ya kutengeneza na kupeleka emotional energy ndipo tunaona sababu halisi ya ndoa:

Kuambatana na mke(to bond) sio kuhama kwenu, ni kuunganika kuwa kitu kimoja. Hili ni tendo la kiroho linalokamilishwa na kuingiliana kimwili. Hebu ona mfano huu:

Mwanzo 34

² Shekemu, mwana wa Hamori, Mhivi, mkuu wa nchi, akamwona (Dina) akamtwaa, akalala naye, akambikiri.

** Huyu mwana mfalme alimwona binti wa Yakobo kwenye nchi yao, akamtamani, akaomba mchezo kisha akalala naye, akambikiri . Kilichotokea ni nini?

³ Moyo wake ukaambatana na Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana, akasema na huyu msichana kwa maneno mazuri.

** Aligundua kumbe binti ni bikira, ndipo moyo wake UKAAMBATANA naye (to bond) . Ndio maana Biblia inasema mwanamume atawaacha wazazi, yaani emotional energy zake atazigeuza na kuzielekeza kwa mkewe, sio kila mwanamke!! Hizo nguvu atazihifadhi ndani ya mwanamke kwa njia ya sex na kuleta muunganiko wa nafsi mbili kuwa kitu kimoja. Kumbe mwanamume wakati wa kujamiiana hutoa nafasi yake na kuiunganisha na nafsi ya mwanamke na kuihifadhi ndani ya mwanamke!!!

Tendo hili hufanywa katika ulimwengu wa roho, lakini katika mwili mwanamume humwaga shahawa na mwanamke hutoa damu ya bikrakama ushuhuda Kitendo cha kutoa bikra ni kuweka agano la ndoa katika ulimwengu wa roho huku MUNGU akiwa shahidi.

Kisha wakati wa tendo hili mwanamke hutoa majimaji yenye manukato ambayo humtambulisha katika ulimwengu wa roho kama wake. Ndio maana mwanamume akilala na mwanamke mwingine, pale arudipo kwa mkewe, mke hupata hisia kwamba amesalitiwa, sababu katika ulimwengu wa roho mwanamume atakuja na harufu tofauti na ile aliyopuliziwa na mkewe. Mwanamke hutambua hilo kabisa katika roho. Kwa hiyo kiroho mwanamume huwa na muunganiko na mwanamke wa pili na kusababisha vita katika ulimwengu wa roho. Nafsi ya mke na nafsi ya mwanamke tofauti hupambana kutafuta umiliki wa huyu mwanaume. Ndipo matatizo ndani ya ndoa huanza. Kwa sababu mwanamume amekuwa na harufu tofauti ya manukato, mwanamke hukereheka kila waingilianapo, na ndipo nafsi yake hutafuta harufu nzuri kwingineko, nayo huja kwa jina la kulipiza kisasi. Ukweli ni kwamba tayari kuna mpasuko katika roho, hivyo furaha ya ndoa haipo tena.

Ni vema kufahamu kuwa nguvu ya hisia itokayo kwa mwanamume ni copy yake yeye mwenyewe!! Kwa hiyo kufanya mapenzi na mwanamke ni kuhifadhi kopi kwake inayoungana na mwanamke kufanya mwili mmoja. Mwanamke ataishi na hiyo nakala ambayo ni wewe maisha yake yote kama hatochukua hatua sahihi.

Reproductive energy
Hii ni nguvu kubwa kabisa kwa mwanadamu. Ni muhimu kufahamu kuwa mambo yote huanzia kwenye ulimwengu wa roho kisha hudhihirika katika mwili. Kwa hiyo, mwanamume humwaga shahawa kwa mwanamke ambaye naye hutoa maji maji na yai ili kukamilisha uumbaji. Shahawa na majimaji ya ukeni hutokana na nguvu ya hisia.

Agano la bikra
Emotional energy hufua nguvu hii katika ulimwengu wa roho kisha baada ya kuungana katika nafsi hudhihirisha matokeo kwenye mwili kwa kumwaga shahawa na kutoa majimaji. Ndio maana pasipo hisia hakuna mapenzi. Hili ni jibu pia kwa waliobakwa, utagundua kuwa hujeruhiwa Kwa sababau hakuna majimaji yaletwayo na emotion. Lakini tangu kale ilikuwa mwanamume akimbaka binti bikra amekuwa mke wake halali . Hata Mungu katika kumbukumbu la torati aliagiza mwanamume akimbaka bikra na amuoe!! Why? Kwa sababu amefunga agano la maisha (bikra) na binti huyo, tena hana ruhusa kumwacha.

Kumbuka kuwa yai atoalo mwanamke halina uhusiano na emotional energykwa sababu hata asipokuwa na hisia za mapenzi litatoka tu kwa majira yake.
Kwa maana nyingine nguvu hii ya uumbaji hutokana na ulimwengu wa roho, hivyo tendo la ndoa sio la kimwili, bali mwili ni uthibitisho wa nje tu kwamba nafsi zimeungana. Wala sio kanisa au msikiti unaounganisha ndoa, bali ni Mungu mwenyewe kwa njia ya damu ya Agano amwagayo mwanamke, ambapo mwanamume huchinja mnyama wa sadaka (bikra) kisha hujinyunyiza damu hiyo uumeni na kumwaga nyingine kwenye madhabahu. Ushuhuda huu huonyeshwa kwa wazeewa mji kwamba agano la ndoa limefungwa. Kumbe kitendo cha mke na mume kuendelea kujamiiana ni kulifanya upya agano, renewing of the covenant, damu humwagika mara moja tu kwenye agano la maisha. Ndio agano la bikira hilo!!

Inaendelea.......

Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, @Buborwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne
 
Hajaoa au kuolewa lakini mwili wake kiasili umeumbwa na matamanio soon baada ya kubalehe anaanza kupata hisia za kufanya mapenzi, dini inasema nini kuhusu hilo?
So anapaswa kufanya suppression ya hizo hisia akidhi matakwa ya dini ya kusubiri mpaka aoe au aolewe to which anabalehe akiwa 10s na ataoa au kuolewa kuanzia 20s mpaka 30s na wengine mpaka 40s.
Hebu nyie warohoni wasaidieni vijana sio kuwaita wazinzi sijui waasherati wakati wanatii hisia walizoumbiwa pasipo ridhaa yao.
Maana Kama vipi ili wasitende dhambi waondolewe hizo hisia na sio ku supress hisia kitu ambacho kimsingi kina madhara makubwa tu.
Waarabu kijana akibalehe mzazi humuoza despite anasoma au la ila sisi weusi na wazungu tunasubiri kwanza huku tunazo hisia tunazihifadhi kinafiki tunajiona tunasubiri wakati.

Ikiwa bikira Maria tunaambiwa alichumbiwa akiwa binti mdogo alikuwa bikra, Sasa huyu unaemuokokesha halafu anasuburi amalize University ndipo apatikane mchumba amuoe, hicho kipindi chote hisia zake za kimahaba anapeleka wapi mnadhani?

Halafu tendo moja mnalipea majina mabaya kibaooo kiasi kwamba mnalimalizia utamu na kuleta madhara kisaikolojia kila mtu akitafakari saa hiyo kichwa cha chini hakisomi namba balaa tupu.

Watu wa vitabu mje mseme hapa.
1. Kama kutenda kabla ni kosa kwanini hisia ziumbwe kabla ya hiyo ndoa?
2 kwanini hizo hisia hazikuumbwa baada ya ndoa ili ibalansi mahesabu?
3. Kwanini mnazuia watu wasifanye wakati hawana option na hizo hisia zao, yaani ana njaa mnamkataza kula msosi uko mbele yake dah!
4. Sex Kama other basic needs why inawekewa masharti Sana?
Asante kwa kutusemea hili mjumbe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom