Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

Japo tunavamia kabla ya Mada, ila wacha tubwabwaje,

Iweje Masikini anapozini na tajiri ,utajiri haumfuati masikini?

Nimesoma boarding tangu form 1, suala la nyeto ni kama vile hakuna mwanafunzi ambae hajapitia huko, leo tuna vibanda vyetu na vi terios kid vyetu.

Nami nasubiri hoja zako.

NB: Kwa maisha ya sasa ukibahatika kuoa bikira basi ukae kijijini, vikija mjini vinakuwaga vicheche zaidi ya kuku wa kienyeji...Mtazamo tu
Subirini mada kwanza.
 
Yote tisa, kumi.. mie mkristo na naujua ukristo vizur.
Sijui anataka kutupiga kamba kupitia wapi.
I know many things about ulimwengu wa Roho..

Sasa sijui yeye anakuja na maelezo ya ulimwegu upi wa Roho.
 
Sasa siju yeye anakuja na maelezo ya ulimwegu upi wa Roho.
Ngoja tusubiri ndugu, kutakuwa na ulimwengu hatujaujua!!
 
Yote tisa, kumi.. mie mkristo na naujua ukristo vizur.
Sijui anataka kutupiga kamba kupitia wapi.
I know many things about ulimwengu wa Roho..

Sasa sijui yeye anakuja na maelezo ya ulimwegu upi wa Roho.
Kuwa na subira, unaweza kujidhani umesimama kumbe uko chali. Wanaoujua Ukristo wako kimya wakisubiri tena wana Roho wa hekima
 
Relationship between Mafanikio and dhambi (ya uzinzi).
Nasubiri hayo mashudu, utanisamee kwa kukupinga kabla ya mada yenyewe kuandikwa.
Nimesema kupiga punyeto mkuu, hili linavuruga kila kitu maishani, upende usipende. Relax uje kufunguliwa macho mkuu. Ukiweka resistance kabla huwezi kuwa na mchango positive
 
Kuzini kunafanywa na walio ndani ya ndoa, punyeto inafanywa na yeyote akiwa na partner
Kwahiyo mie sijaowa, nikiwa na sx na wasichana huo sio uzinzi?
Hadi siku nikiwa kwenye ndoa?, ndo nitahesabika nazini endapo nitakula kahaba.
 
Uasherati na uzinzi. Unaelewaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom