Joram Dymisster
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 502
- 418
- Thread starter
- #61
tupo kijana wangu
Mambo yanaenda mkuu
tupo kijana wangu
Algorithm unajua kutuwakisha lakini kuna mbinu unatumia halafu unatuficha,maana nimejaribu kila kitu kwa Propeller ads lakini cjawahi kupata hata dollar moja,while kwa AdSense ndo najikongoja 1 mpaka 5,by the way thank you.mkuu propeller bado hawajaleta banner(comming soon), ila unaweza ku-design direct links ads zikawa kama banners..
pambana mkuusijui yamegomaa maana nia hatari
Mkuu bado unatumia propeller?maseee propeller ni laini kama kunywa maji/juice baridi kipindi cha joto kali.....
hahahaha napiga bado.... kesho kutwa kibunda kinaingia ^^ 1-July^Mkuu bado unatumia propeller?
Mkuu Adsense wamekuwa na tabia mbaya kwangu nataka kuja huko mkuhahahaha napiga bado.... kesho kutwa kibunda kinaingia ^^ 1-July^
mkuu adsense wanafanyajeMkuu Adsense wamekuwa na tabia mbaya kwangu nataka kuja huko mku
propeller wanalipa bila shida... juzi hapa tarehe moja wamenipa kibunda changu...Mkuu Adsense wamekuwa na tabia mbaya kwangu nataka kuja huko mku
Bro nmeona hyo amount nkapata headache wacha nlale kwanzapropeller wanalipa bila shida... juzi hapa tarehe moja wamenipa kibunda changu...
View attachment 1145586
wanasema wanaban accountmkuu adsense wanafanyaje
NiPM Blog yako nioneMimi facebook wameiblock kabisa website yangu dah