Ijue propeller ads media nje ndani hapa.

UNAINGIZA KIASI GANI KWA MWEZI KUPITIA PROPELLER ADS MEDIA?

  • 0-500 USD

  • 501-1000 USD

  • 1001-1500 USD

Results are only viewable after voting.
Mazee nina akaunti zangu fb kila nimejoin magoup kibao bt kila nikijaribu kushea link mara nne haizidi naambiwa u have been blocked to use some the features..... Sometimes naambia yu have been blocked to use this feature til tarehe furani... Naombeni msaada wakuu mnafanyaje kueputaka hizo banns huko fb wakati wa kushea malinki?!!!!
washa kuweke robot mlangoni maana wanajua una njaa ya kufa mtu
 
rudi tena kwenye sites then angalia kwenye get code utaona hizo option za banner kibao
 
mzee mbona mi bannaer sizioni maana kwenye aount wameandika kuwa banner coming soon sasa sijui nyie mmezipataje. wepu ni PM Site yako inbox
rudi tena kwenye sites then angalia kwenye get code utaona hizo option za banner kibao
 
rudi tena kwenye sites then angalia kwenye get code utaona hizo option za banner kibao
ccccccccccccccccccccccccccccccccccc.JPG
 
hello guys.. kwa wale wenye ugonjwa wa kufungiwa adsense jitahidi kuwa na page ctr below or equal to 15. make sure that you have enough traffic.. Hapo huwezi kufungiwa kamwe..o_Oo_O
 
Asante sana mkuu! Hivi wewe huwa unawezaje ku-maitain high CPM all time, yaani mimi asubuhi CPM inaweza kuwa 0.3 then mchana ikawa 8 point something halafu inashuka, hadi kufika usiku nakuwa na 2.05
hello guys.. kwa wale wenye ugonjwa wa kufungiwa adsense jitahidi kuwa na page ctr below or equal to 15. make sure that you have enough traffic.. Hapo huwezi kufungiwa kamwe..o_Oo_O
 
Back
Top Bottom