Ijue propeller ads media nje ndani hapa.

UNAINGIZA KIASI GANI KWA MWEZI KUPITIA PROPELLER ADS MEDIA?

  • 0-500 USD

  • 501-1000 USD

  • 1001-1500 USD

Results are only viewable after voting.

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
502
418
Propeller-Ads-Media-Review.jpg

Habari wana JF leo nimeona ni vyema tukaelekezana/kujuzana/kuwekana sawa kuhusu Propeller ads media.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi kadhaa kuhusu propeller ads media,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu propeller ads media nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.
 
Yale mengine sijawahi kuyaona na sijajua yanawekwaje kwenye blog na mm nimeshachaguliwa kutumia yale
 
Mazee nina akaunti zangu fb kila nimejoin magoup kibao bt kila nikijaribu kushea link mara nne haizidi naambiwa u have been blocked to use some the features..... Sometimes naambia yu have been blocked to use this feature til tarehe furani... Naombeni msaada wakuu mnafanyaje kueputaka hizo banns huko fb wakati wa kushea malinki?!!!!
 
Propeller-Ads-Media-Review.jpg

Habari wana JF leo nimeona ni vyema tukaelekezana/kujuzana/kuwekana sawa kuhusu Propeller ads media.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi kadhaa kuhusu propeller ads media,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu propeller ads media nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.
kwahiyo hiii propellerads ni kwa south tu ndo unapata pesa nzuri au na vipi kama ni hapa bongo
 
Propeller Ads banner zinalipaje?maana nishaweka hiyo pop under na banner zaidi ya 5,nimeziweka kwenye blog,lkn mwendo wa dola ni wa kuchuchumaa.
 
Propeller Ads banner zinalipaje?maana nishaweka hiyo pop under na banner zaidi ya 5,nimeziweka kwenye blog,lkn mwendo wa dola ni wa kuchuchumaa.
mzee mbona mi bannaer sizioni maana kwenye aount wameandika kuwa banner coming soon sasa sijui nyie mmezipataje. wepu ni PM Site yako inbox
 
Back
Top Bottom