Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,488
- Thread starter
- #501
Habari mkuu naomba niseme mimi sio mtaalam kabisa wa haya mambo yapo huwa napenda kuyafatilia japo mara moja moja ni hivi kuna sehemu nilisoma kwenye forum moja hivi ya kihindi wanasema ni vema sana kutumia nyota yako kuu yani ya siku na mwezi uliozaliwa pamoja na life Path namba yako ili kupata matokeo muhimu zaidi kuliko kutumia nyota ya herufi ya kuzaliwa mfano wewe nyota yako ni ndoo na Path number yako ni 8 basi kuna uwezekano mkubwa sana kama utaipandisha nyota yako itakuletea mafanikio makubwa tu mana key ya mbuzi ni ujasiri na key ya Life Path 8 ni mafanikio na usimamizi.Sorry kwa wale wasiojua jinsi ya kupata life path zao ni kama ifuatavyo umezaliwa 2/1/1985 hapo unapiga hesabu 2+1+1+9+8+5=26 ambapo 2+6 unapata 8....
Na ukigoogle kila life path ina maana zake halafu sorry nasikia katika kila nyota kuu ya mtu apa duniani yana hizo za kuzaliwa zina mzunguko
na mgawanyiko wa mafungu saba hapo bado sijaelewa nimejaribu sana kutafakari na kufanya uchunguzi nimetoka bila bila Rakims
Mkuu samahani hebu chambua kidogo mahusiano ya lifepath na maisha ya mtu na pia hii namba inafaa kutumika muda gani
Scorpio na nyota zofaazo kwenye mahusiano yakeJe, ni nyota ipi ungependa iongezewe maelezo?
Kwenye mahusiano, achana na masuala ya nyota utapotea mkuuMkuu samahani, mimi nimezaliwa tarehe 09/11 na mpenzi wangu tarehe 21/12 , vipi haya mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba hiyo inakuelezea wewe una mbinu zipi katika maisha yako na utakutana na mabadiliko gani kwa uasilia na unaweza kufanya nini mfano yanapofika ni kama muongozo wa maisha yako.Mkuu samahani hebu chambua kidogo mahusiano ya lifepath na maisha ya mtu na pia hii namba inafaa kutumika muda gani
mwenye nyota ya ndoo ajitokeze hapa tufanye kitu especially for girlsMkuu ama katika kapo zenye raha basi ni zile ambazo ni mapacha kwa asilia na sio kwa kukadiria, hapo utakuwa na mtu asiyekupinga kwa chochote na kukuona sawa shida huijia pale ukikwama kimawazo ukimuuliza tufanyeje anakwambia sijui tunafanyaje
Rakims