Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Habari mkuu naomba niseme mimi sio mtaalam kabisa wa haya mambo yapo huwa napenda kuyafatilia japo mara moja moja ni hivi kuna sehemu nilisoma kwenye forum moja hivi ya kihindi wanasema ni vema sana kutumia nyota yako kuu yani ya siku na mwezi uliozaliwa pamoja na life Path namba yako ili kupata matokeo muhimu zaidi kuliko kutumia nyota ya herufi ya kuzaliwa mfano wewe nyota yako ni ndoo na Path number yako ni 8 basi kuna uwezekano mkubwa sana kama utaipandisha nyota yako itakuletea mafanikio makubwa tu mana key ya mbuzi ni ujasiri na key ya Life Path 8 ni mafanikio na usimamizi.Sorry kwa wale wasiojua jinsi ya kupata life path zao ni kama ifuatavyo umezaliwa 2/1/1985 hapo unapiga hesabu 2+1+1+9+8+5=26 ambapo 2+6 unapata 8....
Na ukigoogle kila life path ina maana zake halafu sorry nasikia katika kila nyota kuu ya mtu apa duniani yana hizo za kuzaliwa zina mzunguko
na mgawanyiko wa mafungu saba hapo bado sijaelewa nimejaribu sana kutafakari na kufanya uchunguzi nimetoka bila bila Rakims
 
Sio saba zipo 12 ambapo ya kwanza ni ascendant sign yaani wakati unazaliwa ilichomoza ipi hiyo ndio inakuelezea tabia zako ni zipi na jinsi ulivyo akili zako na kadhalika sasa wengi hutizama sun sign kwa maana ndio source au center ya nyota ya mtu au uhai wa nyota yake lakini katika unajimu usipojua nyota iliyochomoza wakati unazaliwa basi utakuwa ni mtu wa kubahatisha bahatisha mara nyingi
Habari mkuu naomba niseme mimi sio mtaalam kabisa wa haya mambo yapo huwa napenda kuyafatilia japo mara moja moja ni hivi kuna sehemu nilisoma kwenye forum moja hivi ya kihindi wanasema ni vema sana kutumia nyota yako kuu yani ya siku na mwezi uliozaliwa pamoja na life Path namba yako ili kupata matokeo muhimu zaidi kuliko kutumia nyota ya herufi ya kuzaliwa mfano wewe nyota yako ni ndoo na Path number yako ni 8 basi kuna uwezekano mkubwa sana kama utaipandisha nyota yako itakuletea mafanikio makubwa tu mana key ya mbuzi ni ujasiri na key ya Life Path 8 ni mafanikio na usimamizi.Sorry kwa wale wasiojua jinsi ya kupata life path zao ni kama ifuatavyo umezaliwa 2/1/1985 hapo unapiga hesabu 2+1+1+9+8+5=26 ambapo 2+6 unapata 8....
Na ukigoogle kila life path ina maana zake halafu sorry nasikia katika kila nyota kuu ya mtu apa duniani yana hizo za kuzaliwa zina mzunguko
na mgawanyiko wa mafungu saba hapo bado sijaelewa nimejaribu sana kutafakari na kufanya uchunguzi nimetoka bila bila Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani hebu chambua kidogo mahusiano ya lifepath na maisha ya mtu na pia hii namba inafaa kutumika muda gani
Namba hiyo inakuelezea wewe una mbinu zipi katika maisha yako na utakutana na mabadiliko gani kwa uasilia na unaweza kufanya nini mfano yanapofika ni kama muongozo wa maisha yako.

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ama katika kapo zenye raha basi ni zile ambazo ni mapacha kwa asilia na sio kwa kukadiria, hapo utakuwa na mtu asiyekupinga kwa chochote na kukuona sawa shida huijia pale ukikwama kimawazo ukimuuliza tufanyeje anakwambia sijui tunafanyaje

Rakims
mwenye nyota ya ndoo ajitokeze hapa tufanye kitu especially for girls
 
Back
Top Bottom