Nyota ya mtu ni nini? Na utajuaje kama nyota yako imeharibiwa na nn kifanyike?

NEBASA

Member
Feb 17, 2024
15
17
Jamani ndugu zangu kuna muda mambo yanakuwa hayaendi vizuri kiasi kwamba unawaza unafika mbali sana! Labda nyota yangu imeharibiwa wakati huo huo hujui nyota ni nini na kuna mambo gani haswa yana mkuta mtu ambae nyota yake imeharibiwa? Au ni mambo ya kiimani tuu!! Na je kama ni uhalisia nini kifanyike ili kuweka mambo sawa?

Sidhani kama ni Mungu anafanya tuteseke kiasi hiki Mungu anasema yeye ni Mungu wa huruma kuna muda unawaza au nimemuuzi sana Mungu ukijifanyia tathimini unaona hapana ni kawaida kama ni dhambi unazo za kawaida tuu ambazo hata wengine wanao fanikiwa kuliko wewe wanafanya na muda mwingine ni kama wamekuzidi hivi sasa kwa nn mambo yanakuwa magumu hivi?

Nahitaji mitazamo yenu kidogo waja
 
Jamani ndugu zangu kuna muda mambo yanakuwa hayaendi vizuri kiasi kwamba unawaza unafika mbali sana! Labda nyota yangu imeharibiwa wakati huo huo hujui nyota...
My friend ni kujipanga tu🐒

Mshirikishe Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na kila hatua unayopiga. Ikiwa ngumu mshirikishe akuonyeshe njia ya wepesi na usonge, ikiwa nyepesi mshirikishe na umshukuru na uongeze sadaka 🐒

Lakini yote na yote ile muhimu zaidi ni bidii ya kazi, moyo wa shukran na kutokukata tamaa 🐒
 
Fanya kazi kwa bidii na kwa umakini
Work hard and work smart.

Wanawake usipowawekea balance basi PESA zitakukimbia Sana.
(Abstain sex at any cost)

CHUMVI ya mawe- ukiwa unaona mambo yako hauyaelewi ogea chumvi ya mawe siku 7 na kuendelea na nyingine tia Marika mzunguko wa nyumba yako au chumba.

Kutoa sadaka (Tithing) hakikisha hicho unachopata unatoa kwa ajili ya wahitaji.

Shukrani - hapa ndo kuna kila kitu jitahidi uwe unashukuru Sana kwa kila jambo.

Kuhusu NYOTA kuibiwa ni UONGO.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
My friend ni kujipanga tu

Mshirikishe Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na kila hatua unayopiga. Ikiwa ngumu mshirikishe akuonyeshe njia ya wepesi na usonge, ikiwa nyepesi mshirikishe na umshukuru na uongeze sadaka

Lakini yote na yote ile muhimu zaidi ni bidii ya kazi, moyo wa shukran na kutokukata tamaa
Kuna muda unatamani sana kufanya kazi kwa bidii ila unakuta huna hata hyo kazi ya kufanya
 
UKIWA NA TABIA YA KUOMBA NANI ATAKUIBIA NYOTA YAKO MUOMBAJI NI KAMA MSHALE ULIONA RUSHWA NA SHUJAA HAUWEZI KUKOSA SHABAHA TUNALINDWA NA DAMU YA YESU KRISTO
 
Hakuna kitu kqma nyota.
Ni mambo ya majini na Ushirikina ndio yanasisitiza nyota.
Fanya kazi kwa Bidii na weledi, Muamini Mungu.
 
UKIWA NA TABIA YA KUOMBA NANI ATAKUIBIA NYOTA YAKO MUOMBAJI NI KAMA MSHALE ULIONA RUSHWA NA SHUJAA HAUWEZI KUKOSA SHABAHA TUNALINDWA NA DAMU YA YESU KRISTO
Kweli kabisa Mungu ni mkubwa kuliko chochote chini ya jua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom