Nasaha za kila nyota wiki hizi

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,605
NASAHA ZA KILA NYOTA WIKI HIZI.

PUNDA

ni vyema kua na tahadhari hususani kwa wale unaowaamini. Usifanye kazi kimazoea itakukost.

NG'OMBE

hiki ni kipindi cha majaribu sana kwako, kazana kwa maombi na sala.

MAPACHA

ni wakati sahihi ya wewe kufanya maamuzi, chagua mmoja anaekufaa achana na wengine. Usiwaamini madalali katika manunuzi.

KAA.

mambo yataanza kunyooka usikubali kukatishwa tamaa.

SIMBA

kujifanya mjinga haimanishi kua ni kweli. But itakupasa kufanya hivyo kuepuka matatizo.

MASHUKE

shukuru mungu kwa aliokutendea usisahau wale waliokua bega na wewe wakati wa changamoto.

MIZANI

Jifunze kua muazi kama humuhitaji mwambie, kuliko kumpa matumaini ya uongo.

NGE

huu ni wakati wa uvumilivu kwako, usichukie pale uombwapo msaada , kwani baraka ipo katika kutoa.

MSHALE

ni vyema kua karibu na ndugu zako, usiwanyamazie moja kwa moja.

MBUZI

NImda sahihi wa kutekeleza ile mipango yako, pia kua makini unapoombwa pesa na yule usiemtambua kwa nia ya kufanya biashara ya pamoja.

NDOO.

Njia yako ni nyeupe epuka kiburi utaheshimika.

SAMAKI

jitahidi kua kimya huwezi jua adui yako ni nani, punguza kujielezea sana pale unapohitaji. Kwani si wengi wenye moyo kama wako .

NIKUTAKIENI SIKU NJEMA.
By magical power
 
Wewe mkuu hivi tarehe 29 mwezi wa pili ni nyota gani ?

Na mimi nianze kuishi kwa nyota sio kuishi ilimradi nimeamka

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom