Ijue nophone, kifaa cha bei rahisi kuliko nokia ya tochi

Ijue nophone, kifaa cha bei rahisi kuliko nokia ya tochi

duuuuhhh no phone.. na yes phone watakuwa ndugu tuu.kampun moja bidhaa tofaut
 
Ohooo... sasa tuseme hakiwaki wala hakifanyi chochote?
Na hiyo version ya selfie inafanyaje kazi mpaka mtu asiibe picha?
Na kwanini wajisifie kwenye security? Chief-Mkwawa
 
Ohooo... sasa tuseme hakiwaki wala hakifanyi chochote?
Na hiyo version ya selfie inafanyaje kazi mpaka mtu asiibe picha?
Na kwanini wajisifie kwenye security? Chief-Mkwawa
yap hakiwaki wala hakifanyi chochote, na hio version ya selfie ni kioo tu kimebandikwa hivyo picha yako huwezi kuisave unajiangalia tu.

wanajisifia kwenye security sababu hamna mawasiliano yoyote yanayofanyika humo.

mfano ukienda kwa fundi seremala akakuchongea kipande cha mbao akakubandikia na kioo juu, je kuna mtu anaweza kukuspy kupitia kipande cha mbao?
 
nophone ni kifaa kama simu kisiyofanya kitu chochote, haijulikani kwanini kimetengenezwa lakini ndio kipo.
The-NoPhone.jpg




specs za hii siyo-simu ni rahisi kuzijua maana kila kitu hakuna, haina os, haina lcd wala oled, haina speaker, haichezi game wala kupiga simu. inshort haifanyi chochote.

zipo version mbili za hii siyo-simu.
version ya kawaida inauzwa dola 12 (20,000)
version ya selfie inauzwa dola 18 (30,000)

kwenye hii version ya selfie wamekuekea kioo kizuri tu cha kujiona hutoibiwa na mtu picha yako.
The-NoPhone.jpg


kwa sasa jamaa wanajigamba wao ndio wanatengeneza kifaa chenye security kubwa zaidi duniani.

comparison yake na iphone
The-NoPhone.jpg


je unafkiriaje hii idea? jamaa watatoka?
Hii thread nimeiona leo tarehe 12-april. Yaani nimecheka sijui wazungu washatuona sisi maboya kabisa
 
Back
Top Bottom