Mkuu, inategemea huyo NYOKA/NGE umemkanyaga katika hali gani ni Bahati mbaya au makusudi, pia inategemea na hiyo SUMU umeinywa katika hali gani,ulikuwa unajua kama unakunywa SUMU au hujui? Mwisho wa yote kila kitu kinaongozwa na IMANI wapo wanaoamini uchawi unawadhuru na wapo wanaoamini uchawi HAUWEZI KUWADHURU (mimi nikiwa mmoja wapo). Ila ukweli uchawi upoKwa wanaomuamini Mungu wa kweli hakuna nguvu za kichawi juu yao,watakanyaga NYOKA,NGE,kunywa sumu wala hawatadhurika.
Nakushauri mtafute Yesu!Wewe kweli ni mzizimkavu, nitakutafuta
Hapa mtoa mada atajifanya kupotezea! Yesu ni kikwazo thabiti kwa wachawi, waganga wa Kienyeji, waaguzi, majini aina zote, hata kwa baba wa wote hao shetani mwenyewe! Wote hao wameshakutana naye kwa namna moja au nyingine! Yesu ni kiboko yao!dawa ni YESU tuu! huyu jamaa ameficha ukweli! wala msiangaike ni Yesu kristo tuu ndio dawa yao hawa! hata wewe mtoa posti! hebu jaribu Yesu hii ndio dawa ya shida zote!
Kaka ukiwa bongo naomba tuonane tafadhaliNinako waita ninakwenda kuwatibiawajikinge na huo uchawi sio kuwafundisha huo mti Mkuu.
haya hakuna tabuKaka ukiwa bongo naomba tuonane tafadhali
Mna jadi mambo ya kiganga kwenu katika familia.Mambo hayo yapo sana Mkuu Mzizi Mkavu....Mimi Marehemu Uncle Wangu Alikuwa Anaitwa Babu Kijiji Kizima Alikuwa Poa sana anasaidia Watu Kijiji Kizima unampa chochote kile Ajabu Sijawahi kutumia Mzizi hata Siku Moja Na Mara Nyingi Nilikuwa Naenda kuwasalimia Kijijini halafu uncle alikuwa zaidi ya uncle kwangu..Lakini kuna Siku Nilikutana Na Mzee akaniambia Mnajadi Nzito sana kwenu mtu akikuguza Balaa ambalo atakalo pata atasahau kwenye maisha yake...ni kitambo kimepita yule babu cjamuelewa Mpaka leo...Unaweza kunifafanua kidogo Mzizi Mkavu
Mkuu tulio ndani ya Yesu tuna raha sana hatuhitaji kijiti wala unga nakumbuka mwaka Jana walinitumia nyoka chooni nikajiuliza huyu amewekwa au amepanda mwenyewe kutokana na mazingira aliyokuwepo sikumuua nikamwacha kesho yake usiku akaingia chumbani nikamuua tokea hapo niliumwa almanusura niondoke lakini namshukuru Mungu alinihudumia na mpaka sasa ni mzima,sikujua kabla ila baada ya kusoma huu Uzi wa mziz mkavu nimepata jibu.Kumtegemea Mungu kuna faidaDuh hizo nyoka mwaka jana zimenisumbua sana. Nikapata ajari za ajabu ajabu nyingi lakini npo mzima.Kilichofata nikajisalimisha kwa YESU mzima mzima, sasa nipo full. Hayo manyoka nakili hayawezi kunitokea tena. Nimepata maneno yako niliyokuwa sina majibu nayo!, loh tulio wa Mungu hatutakufa kwa wachawi nami nitasimulia kwa upande wangu binafsi!!!!!!!!!!!!!!!!1
kweli kabisa kiongozi!Mkuu tulio ndani ya Yesu tuna raha sana hatuhitaji kijiti wala unga nakumbuka mwaka Jana walinitumia nyoka chooni nikajiuliza huyu amewekwa au amepanda mwenyewe kutokana na mazingira aliyokuwepo sikumuua nikamwacha kesho yake usiku akaingia chumbani nikamuua tokea hapo niliumwa almanusura niondoke lakini namshukuru Mungu alinihudumia na mpaka sasa ni mzima,sikujua kabla ila baada ya kusoma huu Uzi wa mziz mkavu nimepata jibu.Kumtegemea Mungu kuna faida
Kuchanjwa sehemu ya mwili wako ni ishara kuwa wewe sasa umetiwa katka kundi la wachawi wanakutumia usiku kwa mambo yao ya kiuchawi chawi. kama unazo chale mwilini mwako nenda haraka kwa mganga wa asili ili azitowe hizo chale ana akutengeneze dawa ili wachawi wasiweze tena kukuachukuwa kiuchawi. Wachawi ni watu wabaya sana Duniani Mungu atulinde nao amin.Mkuu kwanini iwe Jina la mama na siyo Baba?
Swali Uchawi wa Kuchanjwa sehemu kwenye mwili kichawi hili likoje Mkuu MziziMkavu
Kuchanjwa sehemu ya mwili wako ni ishara kuwa wewe sasa umetiwa katka kundi la wachawi wanakutumia usiku kwa mambo yao ya kiuchawi chawi. kama unazo chale mwilini mwako nenda haraka kwa ili azitowe hizo chale ana akutengeneze dawa ili wachawi wasiweze tena kukuachukuwa kiuchawi. Wachawi ni watu wabaya sana Duniani Mungu atulinde nao amin.