Ijue mitego 3 ya kichawi

Ijue mitego 3 ya kichawi

Duh hizo nyoka mwaka jana zimenisumbua sana. Nikapata ajari za ajabu ajabu nyingi lakini npo mzima.Kilichofata nikajisalimisha kwa YESU mzima mzima, sasa nipo full. Hayo manyoka nakili hayawezi kunitokea tena. Nimepata maneno yako niliyokuwa sina majibu nayo!, loh tulio wa Mungu hatutakufa kwa wachawi nami nitasimulia kwa upande wangu binafsi!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Mambo hayo yapo sana Mkuu Mzizi Mkavu....Mimi Marehemu Uncle Wangu Alikuwa Anaitwa Babu Kijiji Kizima Alikuwa Poa sana anasaidia Watu Kijiji Kizima unampa chochote kile Ajabu Sijawahi kutumia Mzizi hata Siku Moja Na Mara Nyingi Nilikuwa Naenda kuwasalimia Kijijini halafu uncle alikuwa zaidi ya uncle kwangu..Lakini kuna Siku Nilikutana Na Mzee akaniambia Mnajadi Nzito sana kwenu mtu akikuguza Balaa ambalo atakalo pata atasahau kwenye maisha yake...ni kitambo kimepita yule babu cjamuelewa Mpaka leo...Unaweza kunifafanua kidogo Mzizi Mkavu
 
dawa ni YESU tuu! huyu jamaa ameficha ukweli! wala msiangaike ni Yesu kristo tuu ndio dawa yao hawa! hata wewe mtoa posti! hebu jaribu Yesu hii ndio dawa ya shida zote!
 
Ila hiyo issue ya nyoka juzi juzi tu hapa kuna mama mmoja mjamzito alikuwa amekaa sehemu afu nyoka mweusi sana wa size Ya futi 3 akawa anamtembelea karibu yake ila alishtuka na kuondoka wala hakumgusa.
Inawezekama ikawa ndo kama unavosema bwana mzizi mkavu kwamba ametumwa
 
Mi namshukuru Mungu mlinzi wangu....Sikh chache 2 mwaka Jana baada ya kujifungua nikiwa na mamaangu pamoja na Mwanangu pekeetu usiku ule mtoto alilia sana tukaangaika sana kumbembeleza( ilikua ni mida ya saa nane usiku lkn baadae mtoto alilala na alivolala mamaangu akataka atoke kwenda msalani hamadi kutizama mlangoni tukakuta nyoka Mkubwa kiasi kaweka kichwa chake kwenye kitasa baadae katoka taratibuuu mpaka ktkt ya wavu Wa dirisha basi tukatumia chance hiyo kutoka( kiukweli tulimuua lkn sisisote tuwazima) Nnakili kwamba alikua wakichawi maana hata alipoingilia hapaeleweki LKN MUNGU NI MWEMA ALITUPONYA NA HILO...KUMTUMAINI MUNGU INALIPAAAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
Back
Top Bottom