Kipindi hicho nilikuwa nasikia news tu kwamba majeshi ya ECOMOG yakiongozwa na Nigeria yameenda tuliza amani,na nasikia walifanya udhalilishaji mkubwa sana na mauaji, je kuna uhusiano kati ya vita vya siera leon na vile vya liberia?kwa kumbukumbu zangu kuna jamaa alikiwa anaitwa Foday sanko hivi nilimsikia sana naye kwa radio ya band mbili.Naye alikuwa pandikizi la marekani wakamtumia kisha makamdump kupitia Obasanjo sasa hivi yuko the Hague
Wale wana laana ya Siad barreMimi nadhani afadhali ya Liberia yamepita sasa nchi shwari tofauti na Somalia tangu mama yangu anazaliwa mpaka akawa msichana na sasa anawajukuu bado wanachinjana hakuna kusameheana
ECOMOG ni jeshi lililoundwa na ECOWAS katika kufuatilia amani nchi za Liberai na Sierra Leone kwa sababu kama nilivyosema wanashabihiana sana na Foday Sanko alikua kiongozi wa waasi aliyesaini mkataba wa kumaliza maoigano ya wenyewe kwa wenyewe na Rais wa wakati huo akiitwa Ahmad Tejan KabbahKipindi hicho nilikuwa nasikia news tu kwamba majeshi ya ECOMOG yakiongozwa na Nigeria yameenda tuliza amani,na nasikia walifanya udhalilishaji mkubwa sana na mauaji, je kuna uhusiano kati ya vita vya siera leon na vile vya liberia?kwa kumbukumbu zangu kuna jamaa alikiwa anaitwa Foday sanko hivi nilimsikia sana naye kwa radio ya band mbili.
Kipindi hicho nilikuwa nasikia news tu kwamba majeshi ya ECOMOG yakiongozwa na Nigeria yameenda tuliza amani,na nasikia walifanya udhalilishaji mkubwa sana na mauaji, je kuna uhusiano kati ya vita vya siera leon na vile vya liberia?kwa kumbukumbu zangu kuna jamaa alikiwa anaitwa Foday sanko hivi nilimsikia sana naye kwa radio ya band mbili.

huyu alikua Kiboko wangemoata wazenji ndio wangeisoma namba vizuri duuuuhhhhOngezea na hii record ya dunia katika wizi wa kura..
Charles D. B. King
Liberia's president from 5 January 1920 – 3 December 1930
In 1927 presidential elections according to an official statement, King received 234,000 votes;however, Liberia had 15,000 registered voters at the time. Thus won King the dubious achievement of being listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history.
Jamaa aliingizwa kimapinduzi na wamarekani baadae wamarekani wakashinikiza mapinduzi ya kung'olewa madarakani baada ya kukiuka maagano yao,jamaa walimtenda Kama alivyo wafanya wapinzani wake ikiwemo kukatwa sikiokwn huyu jamaa aliwafanyaje waliberia?
Huu haukuwa wizi bali kufuru ya wiziOngezea na hii record ya dunia katika wizi wa kura..
Charles D. B. King
Liberia's president from 5 January 1920 – 3 December 1930
In 1927 presidential elections according to an official statement, King received 234,000 votes;however, Liberia had 15,000 registered voters at the time. Thus won King the dubious achievement of being listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history.
Jamaa alitumwa na wakubwa zake akapindue nchi waqt huo kiongozi akiwa William torbet Samuel doe akapindua kisha akawatwanga risasi na wale waliomtuma enzi hizo akiwa na cheo cha sergeant.Utawala wake ulikuwa mbovu yakaibuka makundi mengine kama la prince Johnson na Taylor na watu wa prince Johnson ndo walimuua doe.Alikuwa rais wao akaongoza kwa mkono wa chuma vuguvugu likaanza uasi ukaibuka ikawa ni vita ya ndani....huwa ndio mwisho wake maiti yake iliburuzwa mitaani
Mwanasoka George Weahna huyu ni nani?