Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Google-Adsense.png

Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu Google Adsense nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.

Mi nauliza jinsi ya kuveryfy YouTube channel
msaada mkuu
 
Nmesha fikisha view 10000 lkn bado hawaja ruhusu matangazo yao yaonekane kwenye channel yangu
Pole sana mambo yamebadilika Tangu mwezi wa Kwanza sasa unatakiwa kuwa na subscribes 1000 na sio 100 tena! pia channel yako inatakiwa iwe imetimiza mwaka mmoja, pia channel yako inatakiwa imeangaliwa masaa 4000, komaa komaa mzee
 
Blog yake ina matatizo yafwatayo....
1]contect za ku copy
2]language anayo tumia kwenye blog haikubaliki na adsense
3]Blog yake inapokea bot traffic

moja kwa moja mtu huyu atafungiwa account ya adsense,hivyo haina haja ya kutumia adsense kwenye blog hiyo.NDO MAANA NIKASEMA AKAEMBALI NA ADSENSE.
bot traffic ndio nini? kuhusu kucopy hiyo haipo,labda language ndo shida ni full kiswahili ndo mana hata wao wananiambia lugha ninayotumia haisapot adsense.
 
Back
Top Bottom