Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 454
Mimi ni mwalimu, sasa mambo ya adsence wapi na wapikvip mkuu
Mimi ni mwalimu, sasa mambo ya adsence wapi na wapikvip mkuu
sasa unatafuta nini huku???????????mbona walimu wengi ni bloggers, coz wana notes nyingi wanazi-convert to ===>>$🙂🙂🙂Mimi ni mwalimu, sasa mambo ya adsence wapi na wapi
Naomba kufahamu uhusiano wa Notes ninazopata kwenye Blogs na hiyo Adsence. Thankssasa unatafuta nini huku???????????mbona walimu wengi ni bloggers, coz wana notes nyingi wanazi-convert to ===>>$🙂🙂🙂
😳😳notes ni-contents, blogger hulipwa kupitia contents zao...adsense ni account blogger anayolipwa kupitia contents/videos zake...try to google for more information about adsense..😳😳Naomba kufahamu uhusiano wa Notes ninazopata kwenye Blogs na hiyo Adsence. Thanks
Ok I will.😳😳notes ni-contents, blogger hulipwa kupitia contents zao...adsense ni account blogger anayolipwa kupitia contents/videos zake...try to google for more information about adsense..😳😳
Usipost hizo screenshort mkuu utatuweka kweny matatizo ya kodi....c unaelewa lakin..hahaha... makofuli akiona hiyo first digit ataanza kudai kodi ili ajenge viwander🙁🙁🙁
View attachment 784353
Tutashinda kesi tyu.....ngoja tuone mlolongo unasemahahahaha... blogger wapo wanapiga dollar taratibu... wanaogopa ku-share Makofuli asije akadai kodi zake..😀😀😀
hahaha.. hawa jamaa wakijua hili chaka watatubana kweli kweli. kwa sasa ni kukaza kwa nguvu zote ili wakishtuka tuwe tumeshapiga hatua kubwa kimaisha..Lets assume wanakata 20% ...ukitoa million 5 wanakata million 1 hivi hivi...😳😳.Usipost hizo screenshort mkuu utatuweka kweny matatizo ya kodi....c unaelewa lakin..
imeanza lini?
imekua disabled😵😵 au 😱😱
Njia ni kushare tu.. share.. share... shareJamn kuna njia nyingine ya kupiga ela zaidi ya google AdSense
hiyo unatumia kiswahili hawawezi kukupa ads, also jitahidi kutengeneza organic traffic ndio traffic bora....naombeni msaada jamani wataalamu Mimi nine jaribu Mara nyingi Ku add AdSense kwenye BLOG yangu ila hazi onyeshi pia Blog yangu hio apo chini
MAMBO MOTO
Naombeni ushauri nimetumia blogger. Alafu nataka Ku pata domain kama. Www.mambomoto.com je nafanyeje
Okey so ni change language nitumie English alafu organic trafic ndio nn mkuu
Naomba maelekezo apo jnsi ya kulpwa kwa njia hiyoo maana kujiunga tuh mpka uweke account ya benk na namba za simu ulizojiungia benk sasa sijaelewa apo msaada tafadhal coz na mm nahitaji hiyo njia niifahamuHapana Unaweza Kulipwa kwa njia ya Western Union