Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Nimepata elimu kubwa sana asanteni kwa woote mliotoa maoni yenu.
1] Post zako ni za ku copy na ku paste kutoka site kubwa ambazo zina authority ya contect husika.swahilipress.blogspot.com
Hapana Unaweza Kulipwa kwa njia ya Western UnionJamani naomba tupeane ujuzi ivi Lazima uwe na account ya bank ndio ulipwe na AdSense tuwekwne sa;
mara ya tatu uta-upload i.d.. mseee, usijali... 😵😵Naomba msaada google wananiambia wameshanitumia verification code ya adsensekwenye anwani yangu lakini Mimi sijaipata na nimeshaiomba upya Mara mbili!!! je tatizo mini? na nitaitatuaje?
Google wamenipa adsense code nimepeste kwenye blog angu but wananiambia request denied,kwa sababu ya unsupported language format daaah nifanyaje wadau,nakosa mapene hivihivi...msaada pliizz
kwa nini museee!!!... hii c ndio habari ya dunia yakhe.. 😵😵😵😵Achana na adsense.
HahhaaJamaa anataka kutusaidia kuhusu payments za google AdSense. Ss mijitu yenye roho mbaya mnakunywa bia then mnatupia kwenye huu Uzi ili muharibu, na wengine tunaotaka kujua, tusijue. Ndio Wa tz walivyo, roho mbaya kumpita hata shetani
naomba kujua njia inayo tumika kujua blog ni copy na paste. na jinsi ya kufanya ili kuokoa kuumbukaTUMA url yako
upo mkoa ganiAdsense Account (non-Hosted) Mpya inasoma $0.00
Inauzwa @ 50,000
Unaweza itumia kwenye site yoyote ile
Call 0787609467
Arushaupo mkoa gani
Njoo in box,swali lipo nje ya mada husikanaomba kujua njia inayo tumika kujua blog ni copy na paste. na jinsi ya kufanya ili kuokoa kuumbuka
kwa nini museee!!!... hii c ndio habari ya dunia yakhe.. 😵😵😵😵
Mtu utafanyaje mpaka blog yako iwe haipokei botBlog yake ina matatizo yafwatayo....
1]contect za ku copy
2]language anayo tumia kwenye blog haikubaliki na adsense
3]Blog yake inapokea bot traffic
moja kwa moja mtu huyu atafungiwa account ya adsense,hivyo haina haja ya kutumia adsense kwenye blog hiyo.NDO MAANA NIKASEMA AKAEMBALI NA ADSENSE.