Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Mkuu msaada wa mawazo,mfano nikiwa na site napost matangazo ya kazi etc nikawa nacopy content ya tangazo husika halaf nikaweka link ya site niliyochukua tangazo eg NMB,vip nikiomba adaense na wakireview site yangu hawawe kunichukulia kama nakopy so wataninyima matangazo?
 
Usicopy title kama ilivyo jaribu ku change ila usipoteze maana husika.
 
Site inapiga kaz kimtindo ingawa traffic bado sana hakuna uchangamfu nadhan ni kwa sababu ya lugha

Niamini kuwa lugha si kikwazo.......kwani hiyo site si ya kutafuta ajiri...? wataka sema wanaotafuta ajira si wasomi? Tatizo laweza kuwa njia utumiazo kutangaza post zako.
 
Ofkozi inaweza ikawa njia ninazotumia kutangaza site yangu...ngoja nifanye imporvement...
 
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 55,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 
Hapo kwenye App mnatengeneza app za namna gani......au mpo kusikiliza mteja anataka app ya namna gani kwa mfano games app,productivity app,social media app..?

KINGINE MKUU MBONA BEI YA PACKAGE IPO TOFAUTI NA KWENYE SITE YENU....

upload_2018-2-25_3-3-33.png

kwa mahesabu ya harakaharaka naona kama hela ina zidi hivi ukilinganisha na uliyo taja hapo juu..........

Mikumi plan
6.99 usd per month
83.88 usd per year
1usd=2200 tsh[kwa muna naandika hii post]
83.88*2200=184,536 Tsh

naomba unipe muongozo..........maana naweza kuwa mteja wenu mzuri tyu.
 
Attachments

  • upload_2018-2-25_3-1-42.png
    upload_2018-2-25_3-1-42.png
    27.3 KB · Views: 88
Lakini tunatoa pia bei za reseller na vps mkuu hizo bei based to USD ni za kuanzia reseller na VPS server mkuu
 
Hapo kwenye App mnatengeneza app za namna gani......au mpo kusikiliza mteja anataka app ya namna gani kwa mfano games app,productivity app,social media app..?

KINGINE MKUU MBONA BEI YA PACKAGE IPO TOFAUTI NA KWENYE SITE YENU....

View attachment 700599
kwa mahesabu ya harakaharaka naona kama hela ina zidi hivi ukilinganisha na uliyo taja hapo juu..........

Mikumi plan
6.99 usd per month
83.88 usd per year
1usd=2200 tsh[kwa muna naandika hii post]
83.88*2200=184,536 Tsh

naomba unipe muongozo..........maana naweza kuwa mteja wenu mzuri tyu.
Kama nilivyotoa kwenye caption 1 disk space bei ni kama ilivyooneshwa kwenye tangazo langu ,Kama hutatuamini tunakupa hosting ya trial kwa week moja halafu trial ikiexpire utalipa,tunataka utulipe tu kama utarizika na huduma zetu karibu sana 0687535650
 
Vipi kuhusu hilo swala la Apps
 
Hosting Package hizi hapa ,pia tunaweza kupa trial ya wiki moja then utalipia.
4de38d9f0524e2cc905c7bbe829f3d3e.jpg
 
Back
Top Bottom