Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

Sante kwa kunisaidia.[ Swali la nyongeza]
MBONA KUNA BAADHI YA BLOG ZA KISWAHILI ZINA MATANGAZO WANAPATA WAPI? AU NI KAMPUNI NYINGI?
Wengine wanaomba matangazo ya google kupitia blogs zenye contents za kiingereza na wakipata ndipo hupachika kwa blogs za kiswahili
 
Jamani msaada kidogo nimepata message kutoka adsense na nimeikubali wameniambia niweke code kwenye blog yangu nimeweka wameniletea message kua wana {reviewing my blog in 3 day or can take long period for reason}
 
endelea kusubiri hadi wakuletee ujumbe mwingine
 
Mkuu wame ni disaprove na sijajua sababu nini
sababu zipo nyingi sana kuwa disaproved siku hizi ila ukiwa mjanja utapa ads kiurahis sana..Google hata kama una site ambayo ina vigezo vyote wanaweza waka disaprove...usikate tamaa ni pm site yako niione huenda nitakuwa na chakukushauri
 
naomba msaada jinsi ya kuongeza earnings za adsense maana kila siku napata below 1$ tatizo ni nini... na huko south africa nikishare kwa facebook groups zao ..Hakuna Response kabisa
 
Yule mwenye link ya group la bloggers la whatsap hebu anipatie hako ka link bhn.
 
WAKUU NIKO KWENYE MATAYARISHO YA UZI MWINGINE AMBAO UTAWEZA KUWA MSAADA KWA BLOGGERS WENZANGU KUKIWEMO NA BONUS YA KUCLONE FULL FUNCTION APP KWA AJILI YA BLOG YAKO BUREE KABISA.

BEST OF LUCK.
 
Google-Adsense.png

Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo utata wote utaishia hapa leo.Uliza swali lolote la msingi kuhusu Google Adsense nami nitakujuza ninalo fahamu.

Karibu.

*******************************UPDATES**********************************

MAMBO YATAYO GUSIWA;
1)KUINGIZA PESA NA BLOG/WEBSITE ISIYOKUWA NA POST HATA MOJA
2)KUINGIZA PESA KWENYE BLOG KWA KUTUMIA WHATSAPP TYU
3)KU EDIT NA KUDESIGN SCRIPT NZIMA YA BLOG HUSIKA
N.K

MAHITAJI;
1)WHATSAPP GROUPS 15-30 (NI VYEAMA KUWA NA GB WHATSAP)
2)SIMU YENYE RAM GB 2 NA KUENDELEA
3)KUJUA HTML ANGALAU KWA ASILIMIA 30

OFFER;
1)KUTENGENEZEWA FULL FUNCTION APP CLONE YA BLOG YAKO BURE NDANI YA DAK 10.(KWA WENYE BLOG AMBAZO ZIPO KAMILI NA ZITAKIZI VIGEZO)

LINK YA UZI HUWO MPYA NITAWEKA HIVI KARIBUNI

USISAHAU KU LIKE UZI HUU.
 
VIPI KUHUSU KULIPIA BLOG TCRA,USIPOLIPIA ADS HAZISOMI AU?
 
Back
Top Bottom