Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
- Thread starter
-
- #81
Jamaa kazama kwenye kilugha hadi ameacha kujibu maswali, katuacha solemba.
Samahani mkubwaHapana mkuu, ukweli jamaa zetu wana mila sawa kabisa na wasukuma. Assume ukitaka ufunge ndoa muda mwingine unatakiwa ufanye ya kimila harafu ifuatie ya kidini (wao wanaita Whites marriage). Pia jamaa walinichokoza kwa lugha ya home na mimi sikutaka watoke na ushindi. Am sorry for that buddy
North province inapakana na upande upi wa Botswana?Niko North Province, South Africa lkn misele kibao Botswana. Umbali ni kama kutoka Geita kwenda Mwanza mjini lisaa limoja na nusu kwa private car
Balinamadako geetegete nkoiAbakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]
Inapakana na border ya Ramatlabama, mkoa wa kusini ya Botswana sehemu zaPitsane na GoodhopeNorth province inapakana na upande upi wa Botswana?
Kuminyaa kaharage ndo kufanyaje huko mkuu witnessj?Mademu rahisi rahisi kama kuvuta hewa hawajui kunyimaa kaharagee kabisa
Inapakana na border ya Ramatlabama, mkoa wa kusini ya Botswana sehemu zaPitsane na Goodhope
You dont need to be sorry man ..najua nyumbani ni nyumbani ni katika tu kunogesha mjadalaHapana mkuu, ukweli jamaa zetu wana mila sawa kabisa na wasukuma. Assume ukitaka ufunge ndoa muda mwingine unatakiwa ufanye ya kimila harafu ifuatie ya kidini (wao wanaita Whites marriage). Pia jamaa walinichokoza kwa lugha ya home na mimi sikutaka watoke na ushindi. Am sorry for that buddy
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nubebe ntombana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuwekea na vipicha mkuu si unajua wabongoAsante kaka, Nimefurahi kusikia hayo maeneo ya Ramatlabana, Pitsane nk, nadhani mji mkubwa hapo ni Lobatse,
Border zingine na south ni Tlokweng ambayo unaingilia Mafikeng (Gauten) kisha Kuna Zanzibar Border post ambayo inaingia Limpopo Province
Kaka nimekaa huko muda wa kutosha vichochoro vyote navijua
Mkuu uko wapi kwa sasa? Free state nina mwaliko vipi pako salama?Asante kaka, Nimefurahi kusikia hayo maeneo ya Ramatlabana, Pitsane nk, nadhani mji mkubwa hapo ni Lobatse,
Border zingine na south ni Tlokweng ambayo unaingilia Mafikeng (Gauten) kisha Kuna Zanzibar Border post ambayo inaingia Limpopo Province
Kaka nimekaa huko muda wa kutosha vichochoro vyote navijua
Nimekuwekea na vipicha mkuu si unajua wabongo
Hahahahahaha!!!ulivyomjibu sasa dah nimecheka sana kwa kweli Ng'wanapagi.Kiswahili kina tafasiri pana sana, kama uelewa wako umefikia kikomo basi hewala
Pole mkubwaThread nzuri lakini imeharibiwa mapema nyambafu kabisa.
Mkuu uko wapi kwa sasa? Free state nina mwaliko vipi pako salama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nkema idako faza.....Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha!!Bhebhe ng'anangwa ganinhage nane gamo gape gamili ndododo na gadako gakispoti....!
Vumiliagi nkoi amakewandaHahahahahaha!!!ulivyomjibu sasa dah nimecheka sana kwa kweli Ng'wanapagi.
Hodakaga nonene nize okwene nkoi.
Duh!!...Nale keyi[emoji101] [emoji101]nishokela ogohaya nagugwe chiza?Utogilwe madago matale nyanda, ulinyo!