Iitwe CHADEMA Education Television

Iitwe CHADEMA Education Television

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Posts
187
Reaction score
0
Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education Television/Radio. Wengi wetu tutakuwa tayari kuzichangia pamoja na kununua Hisa zake. Tunawatakia CHADEMA mafanikio makubwa katika mpango huu.
 
....shoudl have a name with such words as '''PEOPLES POWER'' or something like that!
 
Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education Television/Radio. Wengi wetu tutakuwa tayari kuzichangia pamoja na kununua Hisa zake. Tunawatakia CHADEMA mafanikio makubwa katika mpango huu.
Kama ni kweli ni good news, ila source yako ni ipi kuna thread Slaa alisema atawasilisha wazo kwenye vikao rasmi tayari vimefanyika na kulipitisha?
 
hivi ile CD ya Arusha iko wapi?, sidhani kama na hiyo inasubiri mpaka TV ianzishwe....
 
----chadema peoples power radio na chadema peoples power television----

the radio/television name should not directly consist of the name of the party.....this will avoid the party to be inclined with the vision of the media institution of the party...as its objective will be for profit and awareness programs for all tanzanians irrespective of the party

i think peoples power radio or radio PP are quite clear and will convey the party ideology worldwide
 
Nakubaliana nawe=====PEOPLES POWER TELEVISION/RADIO
 
Toka uanze kuitaja CD ya Arusha nafikiri hii ni mara yako ya 42 counting.....pole sana.

No actually its about 100 times...., kama cd tu haiwezi kupatikana..., je kupata kibali na kuanzisha tv......? Bro we need to learn to walk before we can run.....
 
TCRA hawana huo ubavu wa kutotoa kibali cha kuanzisha TV na Redio kwa CHADEMA.
 
Ije faster itasaidia sana na ikiwezekana ianze kabla ya uchaguzi wa 2015
 
Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education Television/Radio. Wengi wetu tutakuwa tayari kuzichangia pamoja na kununua Hisa zake. Tunawatakia CHADEMA mafanikio makubwa katika mpango huu.

Haitakiwa kabisa kuwa na jina la chama, huoni gazeti la tanzania daima ingawaje linahisiwa kuwa na mahusiano na chadema au baadhi ya viongozi wa chadema lakini wengine hawatambui hilo vingenevyo baadhi ya watu wasingelisoma, si unaona gazeti na redio uhuru nani anasoma/anasikiliza zaidi ya ofisi za umma ambazo zimelazimishwa kununua kopi kila siku.
Hivyo kuita redio/tv kwa jina la chadema kuna athari nyingi sana mojawapo ni kupoteza baadhi ya watazamaji/wasikilizaji hivyo kutoweza kufikia lengo halisi la kuufikia umma kwa wingi.
Sababu nyingine ni kwamba maadui wa chadema wanaweza wakatumia hiyo kama hoja ama propaganda potofu ya kuupotosha umma.

Pendekezo langu: Iitwe Power Radio/Power TV
 
Back
Top Bottom