Tambwe Hiza unafurahisa sana! If you don't want a sarcastic answer, then don't ask a stupid question sawa?
Sawa mkuu,
Tambwe Hiza unafurahisa sana! If you don't want a sarcastic answer, then don't ask a stupid question sawa?
hivi ile CD ya Arusha iko wapi?, sidhani kama na hiyo inasubiri mpaka TV ianzishwe....
I support the name like Peoples power or NGUVU YA UMMA, or it should a slogan that runs quite often.................shoudl have a name with such words as '''PEOPLES POWER'' or something like that!
no...mimi sikubaliani....kwani magazeti na blogu tayari tunayo... ni namna ya kuyaboresha tu....jamiiforums,tanzania daima,mwanahalisi. etc haya ni kuyaboresha...bado redio na kuhusu TV tuna ubia na channel 1.0i am a bit skeptkl on the use of english vocs.how about umma tv, radio umma. tusisaha gazeti na jarida very imprtant.gazeti la umma.
Naunga mkono hoja kwamba isitumie jine la chama au slogan yake. kuna majina mengi kama "Televisheni ya Umma" au "Redio ya Umma" yanaweza kuwa na mantiki kwani si kwamba yatabeba agenda moja tu, pia media hizo ziwe balanced kwa kusimamia ukweli hata kukosoa chadema pia ili kudhihirisha dhana ya utawala bora unaozingatia uadilifu na sheria.
Naafiki. TV itapendeza ikiitwa "People's TV", redio "People's Radio", gazeti "People's Daily" - kwa toleo la Kiingereza na kwa toleo la Kiswahili liitwe "Mama Yangu Tanzania" kwa kipindi cha mpito cha kuwatoa mafisadi baada ya hapo jina laweza kubadilishwa. Kampuni tanzu hizi ziwe chini ya "People's Media Network - PMN".